Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule...
18 Reactions
246 Replies
14K Views
Kaimu mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Sharifa Suleiman amelitaka jeshi la polisi Tanzania kumfukuza kazi aliyekua kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma...
0 Reactions
6 Replies
511 Views
Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC. Jeshi la polisi kwanza...
15 Reactions
90 Replies
3K Views
Hatimaye nimetimiza safari yangu ngumu niliyoianza Jumapili Kwa jumla ya game 25 pesa niliyoshinda kwa ujumla ni milion 46 ukitoa Kodi ambayo imekatwa salio langu limebaki milioni 45 kwenye...
25 Reactions
141 Replies
4K Views
Jumapili January 17 2021 Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni...
8 Reactions
136 Replies
16K Views
Yes! mbali na kutengeneza body structure nzuri,mazoezi huufanya mwili uwe timamu sana. Mind you siyo lazima kwenda gym. Hapa naongelea mazoezi ya kawaida tu (simple exercise). Ambayo mtu yeyote...
24 Reactions
45 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amezungumza suala la utekaji na mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara Kwa mara nchini na madai ya baadhi ya watu vikiwemo vyama vya upinzani juu...
0 Reactions
7 Replies
431 Views
Waliowahi kusafiri nje ya nchi mara kwa mara ni mashahidi katika hili. Mkenya akikutana na Mtanzania nje ya nchi anaona ni Mtu tapeli mwenye maneno mengi, asio weza jambo lolote professionally na...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani ya Mkoa huo, wapo mbioni kuanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuweka camera za kisasa kwenye maeneo korofi kwenye...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA). Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bara bara ya kwenda ipogolo ina jam tuko foleni lisaa sasa gari hazipandi wala kushuka wahusika toeni msaada
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi. Anayejiita mtangazaji...
9 Reactions
74 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Hapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi...
5 Reactions
23 Replies
438 Views
Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye...
2 Reactions
5 Replies
172 Views
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower...
42 Reactions
278 Replies
30K Views
Mahakama ya Uhalifu wa Kiuchumi na Kifedha nchini Zambia ambayo ni kama mahakama yetu ya mafisadi imeamuru nyumba 15 za kifahari za mke wa rais mstaafi Mrs Esther Lungu ambazo ni za kulala wageni...
3 Reactions
14 Replies
570 Views
Tangazo halijafafanua ni taarifa žipi hasa zipelekwe kwa mwajiri na kama hizo taarifa zinahitaji kuwekewa barua ya maombi ya kuhama au la. Na kama covering letters zinatakiwa. Je, huo muda...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji...
1 Reactions
6 Replies
221 Views
Back
Top Bottom