Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
H.
2 Reactions
15 Replies
500 Views
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka...
5 Reactions
165 Replies
8K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ONE 1: Kwanza naomba nitumie nafasi hii kumshukuru kiongozi mkuu wa mtandao wetu huu Mhe. Maxence Melo na team yake nzima ya JF kwa kuuboresha mtandao wetu, hadi...
32 Reactions
72 Replies
4K Views
Kuna mtindo flani wa maisha unapendwa Sana na wanawake karibu wote waliosoma na wasiosoma. Sababu za huu mtindo kupendwa ni hizi harakati za wazungu za kutaka Kuona wanawake wanakuwa SAWA na...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
  • Closed
Habari marehemu pichani amepata ajali buguruni na kupasuka kichwa, mwili umepelekwa hospitali ya Amana. Atakayemtambua awajuze ndugu zake.
9 Reactions
82 Replies
5K Views
Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
334 Views
Salaam wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. 1. Majohe "KWA NGOZOMA" Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe...
0 Reactions
14 Replies
387 Views
Hivi wadau betting inauchawi au maana nilipata million 50 nikaanza Kila siku kuitumia nimekuja kushtuka Nina milioni 1 sasa hivi aisee ni msala sijui majini nishaurini maana Mimi kazi yangu ni...
19 Reactions
52 Replies
6K Views
Neno linalotumika kutafsiri neno la AI artificial intelligence Kwa Kiswahili sio sahihi kuita akili bandia ni kupoteza maana halisi ya Ai artificial intelligence. Neno kwenye maana Bora iitwe...
1 Reactions
15 Replies
845 Views
Wakuu na miezi minne tangu nitoroke kazini serikalini na nilipewa ruhusa maalumu ambayo ilishaisha muda wake...huku kwa mwajiri mpya mambo ni mazuri na sina mpango wa kurudi tena serikalini...sasa...
7 Reactions
218 Replies
44K Views
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha ardhi...
2 Reactions
2 Replies
346 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesema hayo akizungumza leo Jumatano Agosti 7, 2024 alipotembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) lililopo katika maonesho ya...
3 Reactions
15 Replies
714 Views
Wakuu nimeiona hii barua mahali, je, wakuu inaukweli? Kuna mtu anafanya kazi Tanzania Bara na anataka kwenda kufanya kazi Zanzibar kumfata mwenza, je hili tangazo linamuhusu? Je, aanzie wapi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii siku haitokaa niisahau abadan! Ilikuwa ni baada ya kushiba chakula changu cha mchana hapo home,huku nikifanya michezo ya hapa na pale. Ghafla nikakutana na kiberiti cha gesi nikakifuata na...
8 Reactions
19 Replies
653 Views
ZAIDI ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ambapo mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma, Morogoro na Arusha. Jumla...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
📖Mhadhara wa 23: Hii ni sheria ya 1 kati ya zile sheria 48 zilizoandikwa na Robert Greene katika kitabu chake cha THE 48 LAWS OF POWER. Inasisitiza kamwe usimzidi mkubwa wako. Hakikisha kuwa...
6 Reactions
5 Replies
269 Views
📖Mhadhara wa 24: Kadiri unavyokuwa mkimya ndivyo unazidi kujiongezea thamani na sifa nzuri. Hupaswi kujibu kila kitu, unashauriwa kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo. Kukaa kimya pia ni jibu...
2 Reactions
1 Replies
328 Views
Nguvu ya utamaduni. Huwaleta watu pamoja, huwafanya kuwa pamoja, huwaunganisha na Kuwapa nguvu yenye mshikamano imara sana! Je tuna utamaduni wa mwafrika? Ni upi? Je tuna utamaduni wa Mtanzania...
5 Reactions
20 Replies
631 Views
Tumsifu Yesu Kristo Sisemi mengi Ila niliyoyaona tangu tumeanza kusali Jumuiya kwa huyu braza ni wazi combination ya mkatoliki na msabato katika ndoa ipingwe kanisani. Huyu kaka ni Kama...
70 Reactions
242 Replies
10K Views
Tumezoea miradi ya ujenzi wa barabara, majengo na viwanja mbalimbali, inapopelekwa mahali fulani na kukuta wananchi basi wananchi wanapewa fidia kwa uharibifu wa mali zao utakaosababishwa na...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Back
Top Bottom