Nimelazimika kuja na ID mpya kwa sababu hii
Ipo hivi, Nilimaliza Chuo 2019, nikaingia mtaani, nikasota sana kwa kutafuta mtaji kidogo, ujenzi, Supplier, kuvuka border na malori, yaani mishe...
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa...
Wakikutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana sana.
1. Hamfrey Polepole wa katiba mpya na Hamfrey Polepole wa Magufuli.
2. Peter Msigwa wa CCM na Peter Msigwa wa...
Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya...
4:18 PM
Mwili wa mtoto Rashmi Abdalah (5) ukiondolewa kwenye mashamba ya miwa wilayani Kilombero. Picha Happiness Mremi
Kilombero. Mwili wa mtoto Rashmi Abdallah (5), mkazi wa Kijiji cha...
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.
Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha...
Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina...
WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za...
Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha.
Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza...
Historia ya sahaba aliyosafishwa na malaika inahusiana na Hanzala ibn Abi Amir, mmoja wa masahaba wa Mtume Muhammad (SAW). Hanzala alijulikana kwa jina la "Ghasil al-Mala'ika," linalomaanisha...
Salaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua...
HII NDIO MAANA YA KUSHAURI KWA VITENDO
SANT'AGATA, Bolognese ni makao makuu ya supercars aina ya Lamborghini. Maranello, Modena, ndio HQ ya Ferrari. Kutoka Sant'Agata kwenda Maranello ni umbali...
YESU WAWILI
Picha ya ukubwa wa futi 15 kwa futi 29 kwenye ukuta wa kanisa, The Last Supper ya mchoraji Leonardo da Vinci, inayoonyesha mlo wa mwisho kati ya Yesu na wanafunzi wake kabla ya...
Wengi wetu sio wageni kuziona video za wakristo wanatemewa mate wakienda Israel, Ni matukio yanayotokea mara chache lakini kwa jinisi yanavyotrend yanajenga picha kwamba ni matukio ya kila siku na...
Aisee kwa ufupi sikuwai kuwaza nitakuja kuangukia kazi hii ambayo japo kua napata riziki lakini kwa namna fulani nafsi haina ile furaha ya kweli.
Najua wapo watu humu wanafanya shuguli za...
Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari...
Naomba kujua security ya fedha za mteja kwa SIM banking ikoje. For example, TCB popote unaweza kuhamisha fedha toka akaunti yako, kukopa salary advance, pension advance and many other operations...
Mji wa Arusha viwanja kwasasa vimepanda bei sana hasa maeneo ya Kiseriani na Moshono, Loswirai. Vipi ndugu zetu wa mkonoo kuna shida gani bei za viwanja zipo chini sana na maendeleo yako down sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.