Habari za wakati huu wana jukwaa
Duniani hatupo peke yetu, vipo viumbe au roho ambazo kwa macho hatuwezi kuziona, zipo katika dimension nyingine, lakini ipo namna tunaweza kuwasiliana au...
Visit ResearchLink International for assistance in statistical analysis, research organization, planning, data analysis, article publication, plus other study opportunities. University students...
Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi...
Mimi ni mkazi wa mtaa unaitwa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani.
Hapa jirani yangu kimejengwa kiwanda kikubwa cha kuten geza Ethanol na vingine vinavyotokana na molasses...
Wakala wa Barabara Tanzania , TanRoads imechapisha ramani Mpya Inayoonesha Mtandao wa Barabara zao zilozowekewe lami na Zenye vumbi.
Ufunguo
1. Rangi Nyekundu inawakilisha Barabara Za Vumbi
2...
ZAMA ZIKIBADILIKA NAWE JIFUNZE ZISIKUTOE KWENYE MFUMO.
Kuna zama ajira zilikuwa nje nje ila sasa ni lazima ufanye usaili na tena ufaulu huo usaili.
Kuna zama fursa zilikuwa zinatafuta watu ila...
Dunia inaadhimisha ‘Siku ya Usafiri wa Baharini’ huku ikiangazia zaidi hatari zilizopo baharini zinazotishia uhai wa wasafiri, kuharibika kwa vyombo vya usafiri, mali zinazosafirishwa sambamba na...
Mwanzon nilihisi n shida ya ajira ndio inafanya wanaongezeka wakamaria
Yaan hivi sasa hadi watu wa maofisini wanabet vibaya sana
Watu wakubwa unawakuta kwemye ma casino
Nini kinaendelea...
Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu.
Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa.
Nilijua ana...
Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya...
BILIONI 101.2 KUJENGA BARABARA YA KAHAMA-KAKOLA KM 73 KWA KIWANGO CHA LAMI
Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili...
Wakuu kama kuna mtu wa crdb humu au mwenye taarifa kamili naomba atujuze hili suala.
Mimi ni mtumishi wa serikali nilifanya maombi ya mkopo toka jumatatu kupitia mfumo wa ess ila maombi yakawa...
Kuna kitu kinaitwa fani na kuna kitu kinaitwa taaluma.. Ukiwa na taaluma kwenye fani fulani wewe si mtaaluma bali mtaalam... Kiingereza tunaita professional... Mimi nina taaluma na ujuzi wa mambo...
Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Usije ukarogwa ukatoa ushirikiano wa aina yeyote kwa Mtanzania, hakuna mtu mpuuzi na mjinga kama mtanzania. Bado utampatia msaada wa bure lakini bado...
Kuna mwamba ambaye alipotea baharini akiwa safarini kwa mda wa mwezi mmoja,alipoulizwa ni kitu gani ambacho ulikihitaji sana wakati wa changamoto yako ya kupotea,alijibu ni maji na chakula...
Kufuatia ongezeko la madanguro katika maeneo ya Kinondoni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amefika kwenye maeneo ya kunapodaiwa kufanyika kwa biashara ya kuuza mwili maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.