Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Siku ya Kimataifa ya Vijana ni hafla maalum ya kuenzi nafasi muhimu ya vijana katika jamii na kutambua mchango wao katika maendeleo. Ni siku ya kutambua uwezo na mafanikio yao huku pia...
1 Reactions
0 Replies
368 Views
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee. Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui...
32 Reactions
195 Replies
6K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera akamilishe haraka hatua za...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Msaada wakuu na gharama zake za kutangaza kupotea kwenye gazeti ni kiasi gani? Au kupata Cheti mbadala cha kidato cha nne inachukua muda gani kukipata?
1 Reactions
2 Replies
489 Views
Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji. Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu. Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi...
21 Reactions
196 Replies
7K Views
Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na...
0 Reactions
4 Replies
295 Views
Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Jana niliamdika Uzi ukihusu Ellen G white Nabii wa wasabato alisema kunakufungwa mlango wa rehema! Huu Uzi una shida ipi?
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Wamegoma kabisa kunisaidia kufuta cheti cha degree na mimi niombe hizo za diploma nahisi kuchanganyikiwa ndo tumaini langu la mwisho[emoji24] Ndugu zangu sijui utumishi sijui wanatakaje maana...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana...
2 Reactions
35 Replies
944 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amezitaka Idara mbili zilizopo chini ya Wizara yake ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa...
1 Reactions
0 Replies
486 Views
Wakuu Kwenye wimbo wa taifa anatajwa Mungu yupi Je viongozi wetu ni waumini wa Mungu, Je matendo yao yanaakisi uwepo wa Mungu ndani yao? Tujadili
3 Reactions
7 Replies
234 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Je chini ya udongo kuna sukari? Nauliza ile sukari kwenye miwa (mua) inatoka wapi? (2) Kwa nini mgomba unazaa ndizi? Mti wa mchungwa huzaa tunda la chungwa, muembe huzaa tunda la embe, mlimao...
0 Reactions
3 Replies
192 Views
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini...
16 Reactions
38 Replies
1K Views
Naongea na wewe mbaba mwenye komwe na mindevu kama BABA UBAYA! Juzi nimekutana na KAMAMA kamezalishwa mtoto wa kiume na kutelekezwa, kanalia lia njaa, mara ooh nina njaa, mwanangu hajala.....mara...
10 Reactions
21 Replies
634 Views
Habari, Nataka niende Bukoba..je Kahama Kuna gari za kwenda Bukoba na zinaondoka saa ngapi..na gari Gani nzuri kufika Bukoka ...nauli ni shingap nani mwendo wa masaa mangapi?
3 Reactions
14 Replies
757 Views
Serikali imeombwa kukiongezea nguvu Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi ili uzalishaji wake ufike tani 75,000 kwa mwaka kutoka makadirio ya tani 50,000 za sasa. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa...
0 Reactions
5 Replies
491 Views
Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu...
26 Reactions
67 Replies
3K Views
Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake...
17 Reactions
91 Replies
21K Views
Back
Top Bottom