Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea:
Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba...
Inashangaza sana!
Mwanaume unalala tu kama House girl uko comfortable kabisa? Unasahau kwamba huna tofauti na Mlinzi wa Getini kule!
Mwanaume unapaswa kuwa na zana za Ulinzi karibu yako na...
"Amesimulia Abuu Hurayrah (رضي الله عنه): Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: 'Watu saba Allaah Atawafunika katika kivuli Chake, Siku ambayo hakutokuwa na kivuli ila kivuli Chake: (SIKU YA...
Habari wadau wa JamiiForum, I hope wote mko poa. Leo nimefanya tafakari ya kina kuhusu maisha yangu na kuishia kuungana na mwandishi aliyeandika kitabu cha muhubiri kwenye bibilia.
Kweli kila...
Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.
Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend...
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa...
Habari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita...
Tatizo la Africa tuna tafuta viongozi ambao ni wana siasa kutatua matatizo yetu ya uchumi wa nchi. ndo maana hatuwezi kupiga hatua ya uchumi umasikini unazidi kila awamu. Mtu ni chawa anapewa awe...
Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia
Nini maoni yako👇🏾
https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
Niko lonely sana, nahitaji ushauri wa jamii. Sina msaada kabisa, sina washauri hasa kisaikolojia
Kuna makosa mengi sana nimekosea yamepelekea nikose furaha ya maisha kabisa.
Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya...
Mwisho wa miaka ya 1990, uchumi wa China ulikuwa unakua kwa kasi, lakini wajasiriamali wadogo walikuwa wanahangaika kupata nafasi yao kwenye soko la kimataifa. Hapo ndipo alipojitokeza Jack Ma...
Moja kwa moja kwenye mada
Ndugu zangu watanzania wenzangu kuna watu wana wagonjwa hospitali ya mloganzila lakini baada ya kufika pale mtu au watu waliokuja na mgonjwa wanakosa sehem ya kukaa au...
Ukisikiliza kelele na malalamiko ya Wafanyabiashara wa route za Dar-Moro-Dom-Singida Wanavyoilaani Sgr na kulaumu Serikali unapata picha jinsi watanzania hatuna ubunifu Wala aggressiveness kwenye...
Kuna migogoro ya idadi kubwa ya chinichini kati ya Kiwanda cha Urafiki na makampuni binafsi, kati ya Kiwanda na wapangaji wa apartments zake na pia kati ya Kiwanda na serikali (Manispaa ya...
Morogoro
Arusha.Kiwanda cha kutengeneza nguo cha jijini Arusha A to Z Textile Mills Limited , kimeibuka na ushindi mzito wa kuwa kiwanda bora cha Usalama na Utunzaji wa Mazingira mahala pa kazi...
Ili shamba lina zaidi ya miaka 45 na mpaka reli ilijengwa kwenda maeneo yale.
Tungekuwa tumeliendeleza huu uhaba wa ngano sasa ingwekuwa kuna ahaueni.
Nadhani ni mda muafaka wadau sector...
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.