Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti
Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja
Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani...
1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona...
Niaje waungwana,
Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo...
1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao:
2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu?
3. Kwamba madeni ndiyo haya?
4. Wanaeleweka washirika...
Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed
Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85...
Iran attacked Israel with seven "Fatah" hypersonic missiles - the Iron Dome did not shoot down a single one
THOSE MISSILE ARE 15 TIMES FASTER THAN SOUND AND HAVE A RANGE OF 1400 KILOMETERS...
Salaam, Shalom!
Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini...
Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo.....
Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the...
Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits...
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru.
Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa na...
Awahishwa kwa mabikira...
The IDF on Tuesday announced it had assassinated a senior Hezbollah commander for the Lebanon coastal region, equivalent to the rank of an Israeli brigade commander...
Taifa lenye jeshi lenye Nguvu duniani limeshindwa kuishambulia Iran just kwa sababu nchi nyingine imesema haitamsaidia kulipiza😂
The US president reportedly talked the Israeli prime minister out...
Kila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia...
Vifijo vimerindima ndani ya maeneo ya Gaza baada ya Iran kuamua kuipiga Israel kulipiza kisasi shambulio la Israel dhidi yake huko Syria.
Baadhi ya waliohojiwa jimboni humo wamesema kwa muda...
Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada...
Waislamu wanatia huruma walikuwa na nchi Super Power kivita tatu za kiislamu Libya ya Gaddafi ,Iraq ya Saddam Hussein na Iran.Wamebaki na Iran tu hao wengine wote wamebamizwa na nchi za Magharibi...
Wakali wa kubet/betting kwenye mechi kama hizi huwa mnasemaje, maana mpaka sasa siamini, nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........
Kwamba wale makamanda wao waliouawa...
Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.