Vita ni kitu cha gharama Sana na ni mzigo Kwa dunia.
Ebu piga hesabu Kwa usiku mmoja zimetumika USD kibao Kwaajili ya ulinzi Tu wa anga, Kwa mfano fighter jets za F-35 zilikuwa zinaruka hewani...
Afisa muandamizi wa jeshi la Israel Brigedia Generali Reem Aminoach amelalamika kuwa "Muajemi" kaiingiza Israel kwenye hasara kubwa mno kwa shambulio lake la jana usiku ambalo limeifanya Israel...
Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya Marekani na utawala wa...
BREAKING
Iran's General Salami:
"We want to create a new equation: from now on, any Israeli attack against Iranian assets, interests, personalities anywhere on the planet will be met with a...
Hivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel?
Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi...
Washington is reportedly worried about a major escalation fraught with “catastrophic consequences”
US President Joe Biden has told Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu that Washington would...
1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi:
2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma:
3. Kumbe kipi kilicho bora...
Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa sio cha kawaida. Kuanzia mwaka 2000 kumekuwa na speed kubwa ya matukio ya kutisha ulimwenguni.
Wote tumeshuhudia Vita, magonjwa, na Mambo mengi ya kutisha. Je...
Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano.....
The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region...
Syrian President and Family EVACUATED; Iran Attack Upon Israel Said "Likely" within "Hours"
HAL TURNER WORLD 09 APRIL 2024
Multiple sources are indicating that Iran is going to directly...
Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia...
Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo...
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza...
Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa.
Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa...
Joto la vita limeanza kupanda ndani ya Jordan ambayo pamoja na Misri ndizo nchi muhimu kwa usalama wa Israel.
Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na...
Kwa hali inavyooendelea mashariki ya kati dhidi ya iran kuishambulia israel ni wazi msikiti wa al aqsa unaenda kubomolewa kwa kisingizio cha iran anaishambulia israel
Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli.
Hili bandiko ni kwa ajili ya...
Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.