International Forum

News and Stories from rest of the World
Uturuki kwa muda mrefu tena muda uliokuwa mgumu zaidi kwa wapalestina ilitumia mdomo pekee kuilaani Israel bila kutoa msaada ambao ina uwezo nao. Miezi sita kuelekea saba ndio sasa imeamua...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya...
11 Reactions
189 Replies
7K Views
Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4 Operesheni hiyo imeanza...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Rwanda imeandika Barua kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikipinga upelekwaji wa Jeshi la SADC la kulinda amani kutoka Nchi za Afrika Kusini,Tanzania na Malawi kuwafurusha M23. Kwenye...
13 Reactions
454 Replies
21K Views
1. Pigo jingine kwa Benjamin Natenyahu; ushindi mwingine kwa wapalestina na HAMAS. 2. Wapigania katiba wa kwetu hawatambui haki hupiganiwa kwa jasho na damu ikibidi. Wamekaa kitako, kuilaumu...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita: Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Mwandishi mwenye asili ya Tanzania aliyeshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021 Abdulrazak Gurnah, hivi karibuni alitembelea China na kuzungumza na mwandishi wa China Mo Yan, ambaye pia ni...
1 Reactions
0 Replies
298 Views
Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama...
18 Reactions
59 Replies
3K Views
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa, ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Rwanda kwa ajili ya kuadhimisha miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi, inaweza kuwa...
1 Reactions
9 Replies
815 Views
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe. Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe...
10 Reactions
98 Replies
4K Views
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti...
13 Reactions
163 Replies
9K Views
Wayahudi kama wasingewekeza sana kwenye usalama, huenda mpaka sasa jamii hiyo isingekuwepo Duniani. Watu hawa, ukiacha wale waliopo Ulaya na America, wanaishi katikati ya maadui zao, huku matendo...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na...
37 Reactions
137 Replies
9K Views
Wadau hamjamboni nyote, Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha ugaidi cha Hezbollah auawa na Jeshi la Israel Katika mji wa as-Sultaniyah huko Lebanon ya Kusini. Ali Ahmed Hassin...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
UCT accused of protecting professor caught with drugs and accused of burning office The University of Cape Town has been accused of protecting Associate Professor Leon Holtzhausen despite proof...
0 Reactions
3 Replies
476 Views
Kiwango cha ongezeko la maandamano nchini Jordan kumeanza kutishia ufalme wa nchi hiyo.Wiki iliyopita waandamanaji hao walifurika mitaani na kuzunguka ubalozi wa Israel. Pamoja na kubeba mabango...
1 Reactions
12 Replies
798 Views
Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya...
16 Reactions
199 Replies
8K Views
Yaani hakuna kuachia...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom