Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa mambo ya Usalama mwenye msimami mkali kutoka Chama Cha Yehudit amwambia Waziri Mkuu Netanyau kuwa asithubutu kusitisha vita dhidi ya Hamas bila kuivamia Rafah...
Katika siku za karibuni kongamano hilo lililopewa jina la "Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Demokrasia: Maadili ya Pamoja ya Binadamu," lilifanyika mjini Beijing. Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni...
BURKINA FASO: Takriban Watu 170 kutoka katoka Vijiji vya Komsilga, Nodin, na Soro katika Mji wa Yatenga, wameripotiwa kuuawa na Waasi wanaohusishwa na Vikundi vya al Qaeda na IS.
Taarifa...
Naona mabeberu wameanza kujikuna Marekani ametuma ujumbe wa siri kwenda Iran kuwa hawakuhusika na shambulizi dhidi ya ubalozi wa Iran pia hawakua wakijua chochote na Israel haikuwajulisha kwahiyo...
MSUMBIJI: Mitandao ya BBC na Reuters imeripoti kuwa zaidi ya Watu 90 wamefariki katika ajali ya Kivuko kinachodaiwa kilikuwa na takriban Watu 130 jirani na jimbo la Nampula, huku Watu 5...
1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:
2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?
3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja...
Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji
=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya...
Matukio ya jana jimboni Gaza na kauli kutoka Marekani na Israel ni wazi kuwa mbabe mkubwa amekubali kistaarabu ili yaishe.
Shinikizo la kuondoa askari Gaza si la Benjamin Netanyahu kwa ridhaa...
Yaani Iran haiponi, inapigwa kote....
Iranian rial collapses, 'loses 30% of value' - reports
Government attempts at distracting the public with threats against Israel do not go unnoticed, as...
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo...
kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Ulaya, Amerika na Asia wakiongozwa na Rais Paul Kagame.
Ishara ya kuanza kwa kumbukumbu ya mauaji...
Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa...
Chombo maarufu cha habari kuhusu nishati mpya Cleantechnica hivi karibuni kilisema “sekta ya magari ya umeme ya China inayoendelea kwa kasi inaleta athari kubwa kwa Afrika na kukuza mageuzi ya...
1. Hili si jambo dogo kwani hata Police Tanzania (PT) ya Muliro, achilia mbali wale wengine wa kwetu au hata HAMAS hawawezi kuwa hivi:
2. Kwamba hivi hawakuanza juzi, ila ndiyo hulka yao,
3...
BREAKING: The Iranian consulate in Damascus has been "destroyed", according to the Syrian state news agency.
Further reports claim that a senior commander in the Iranian Revolutionary Guard Corps...
Defense Minister Yoav Gallant said on Sunday that the IDF withdrew from Khan Yunis after Hamas ceased to function in the area, adding that the troops left in preparation for a coming Rafah...
Mbunge mmoja wa Ujerumani ametoa mito wa kufukuzwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani ambavyo vimekuwepo nchini humo kwa karibu miongo minane.
Sevim Dagdelen wa chama cha mrengo wa Kushoto...
Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.
Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine...
Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.