Baada ya maandalizi ya miezi kadhaa na mikutano rasmi iliyofanyika kwa siku tano, kikao cha sita cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA-6) kilichofanyika mjini Nairobi, Kenya, hatimaye...
Niger has officially denounced Niger’s republic military cooperation with the United States of America 🇺🇸 with immediate effect.
It means that the USA air bases in Niger 🇳🇪 have been closed down...
Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho...
Wakati vita nchini Sudan vikiingia katika mwaka wake wa pili mwezi ujao, Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Mtoto (CRC) Jumatatu ilionya juu ya hali ya kutisha ya mzozo wa watoto, huku takriban...
The globalist plan to eliminate all farms: No more food, no more humans
13 March 2024
Much of the world's farming community is still in the dark about the globalist plot to take over their land...
Kiongozi wa Ujerumani, chansela Scholtz amemshushua Benjamin Netanyahu hadharani hapo jana wakati wa mjumuisho wa ziara yake nchini humo mbele ya waandishi wa habari.
Kauli zake ni kuungana na...
Marekani ikiwa ni kinara wa demokrasia imeonesha kuwa demokrasia ni janga jengine la dunia
Hata kurudi kwake kugombea pamoja na kukabiliwa na kesi chungu nzima ni funzo jengine la matatizo ya...
Itafutwe mbinu ya kisiasa ya kupatanisha wapiganaji kwenye nchi ya DRC, vita vya nchi ile sio vya kawaida, kuna mkanganyiko mkubwa sana na umwagikaji wa damu utaendelea kwa muda mrefu kama pande...
1. Before Israel, there was a British mandate, not a Palestinian state.
2. Before the British Mandate, there was the Ottoman Empire, not a Palestinian state.
3. Before the Ottoman Empire, there...
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================
The M23 rebel group has...
Wadau hamjamboni nyote,
Kiongozi namba tatu wa kikundi cha ugaidi cha HAMAS aendaye Kwa jina la MARWANI ISSA ameuawa akiwa amejificha chini ya handaki
Hongera IDF
Mungu ibariki Israel
---...
Wiki hii, kile kinachoitwa "Mkutano wa tatu wa Demokrasia" unaoongozwa na serikali ya Marekani ulifanyika huku kukiwa na utata mwingi. Gazeti la "The Standard" la Kenya lilitoa tahariri yenye...
Magaidi ya FATAH yenye mlengo wa dini ya kiislamu na magaidi ya HAMAS yenye mlengo wa dini ya kiislamu, yaanza kulumbana, hao FATAH wanawalaumu HAMAS kwa kusababisha majanga Gaza ambayo hayajawahi...
Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept...
Mfungwa wa dawa za kulevya ambaye alikamatwa baada ya kujaribu kutoroka gerezani akiwa amevalia nguo za kike amefariki dunia. Alikamatwa Jumamosi iliyopita nchini Brazil akiwa amevaa kinyago...
Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, serikali nyingi zisizo za Magharibi zilianza kuamka na kujua kwamba demokrasia na haki za binadamu za dhana zilizotetewa na nchi za Magharibi zinalenga...
Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni...
Ndege isiyo na rubani au droni imedondoshwa leo kwenye jiji la Gaza ambalo jeshi la Israel lilitangaza zamani kulidhibiti eneo hilo.
Habari hizo zimetolewa na msemaji ya kundi la Alquds ambalo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.