International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi...
3 Reactions
2 Replies
704 Views
Magaidi yaliyokamatwa lazima yapata cha moto na show kali kali hadi hili liliamua kujitoa uhai likawahi mabikira.... Hamas Nukhba terrorist who took part in the October 7 massacre attempted to...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Takriban wiki tatu zimepita tangu wanamgambo wa Houth watangaze wanakusudia kutoa habari ya kushtua nyoyo. Habari hiyo haikufahamika hata pale nyaya mbili za data za intaneti za chini ya bahari...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Ikiwa ni siku ya 110,zaidi ya miezi 3 tangu vita vianze mapigano makali yameripotiwa kwenye mpaka wa Israel na Gaza na kupelekea Israel kuamua kurudisha baadhi ya vikosi ilivyokuwa imeviondoa...
7 Reactions
101 Replies
5K Views
Wananchi wengi wa Gaza wanapaza sauti kuwa wamekuwa wakiibiwa chakula cha msaada kinachotelewa na magaidi wa Hamas. Kina mama na watoto wamehojiwa na kusema Hamas huvamia chakula cha msaada na...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Ule Uchaguzi uliotokea kwanza miaka mitano iliyopita Tshisekedi hakushinda. Alipata urais kwa hisani ya Joseph Kabila. Kanisa Katoliki lilisema "kesho tutamtangaza mshindi wa Uchaguzi.' Halafu...
2 Reactions
9 Replies
662 Views
Kama vile Serikali ya India ilivyoipa kipaumbele ujenzi wa barabara za kuunganisha nchi, imeanzisha mpango wenye matumaini wa kufanya India iweze kujitegemea katika uzalishaji wa vipande vya...
2 Reactions
12 Replies
896 Views
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa magharibi...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo...
0 Reactions
8 Replies
639 Views
On one side of the coin, the depreciation of African currencies against major currencies, particularly the US dollar, turned into a major headache affecting trade balances, inflation rates, and...
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Baada ya magaidi Hamas kuwasilisha mpango ambao unamwelekeo wa kukomesha vita Mkuu wa mosad bwana david ataongoza ujumbe wa Israeli ktk mazungumzo yanayolenga kusimamisha vita Mtakumbuka hapo...
1 Reactions
0 Replies
382 Views
Amesikika mwamba huyu wa Kigali: 1. Kwamba kwao wamewekeza kwa watu na kuwa taasisi imara. 2. Kwamba anaamini hata baada yake atapatikana mwingine labda hata bora zaidi: 3. Kwamba kumbe tokea...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico...
6 Reactions
75 Replies
4K Views
Ilizoeleka kila wakifanya ibada huwa wanaingiwa na mzuka fulani hivi wanaliamsha amsha, ila kipindi hiki Israel imekua makini na kuzuia vijana na kuachia akina mama na wazee tu ndio waliingia pale...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza. Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu..... Hamas-linked website warns...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
In China, Coca-Cola will be sold as a sewage cleaner, and the Coca-Cola soft drink produced by the American Coca-Cola Company will be transferred according to the decision of the Chinese Central...
8 Reactions
14 Replies
4K Views
Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance...
3 Reactions
108 Replies
5K Views
Huku Mikasa ikiendelea kuiandama urusi baada ya ndege yake kubwa ya mizigo kuwaka moto wakati ikiwa angani na kuua watu wote 16 ndani yake,kwa upande wake Ukraine imeendelea kutembeza kichapo huku...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom