Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameripotiwa kuwa anatumai marekebisho hayo ya katiba yatamtofautisha na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally cha Ufaransa - ambacho kinazidi...
Msemaji maarufu wa kikosi cha kivita cha Hamas ambaye kwa takriban mwezi mzima uliopita hakusikika akitoa takwimu za uwanja wa mapigano,leo amesema mateka 9 wanaowashikilia wamekufa kutokana na...
Wapalestina wajifunze kwetu, nasi tujifunze kutoka kwao
Ahmed Rajab
“JITAYARISHE kunyanyaswa na kudhalilishwa,” ndivyo alivyoniambia sahibu yangu mmoja mwenye asili ya Kipalestina kama miaka...
SENEGAL: Mamia ya Waandamaji wameripotiwa kuendelea na maandamano ya kumshinikiza Rais Macky Sall kufanya Uchaguzi Mkuu ndani ya mwezi mmoja kabla ya muda wa Urais wake kumalizika April 2, 2024...
Habari wakuu,mimi si mwanasiasa wala mchambuzi wa masuala ya kimataifa bali tu nataka kufahamu.
Naomba kuuliza kuhusu utoaji wa misaada ya kiutu kati ya Palestina na Israel ambayo hutolewa na...
Vyombo vya habari vya Marekani vimemponda Rais Ufaransa Macron kwa kushauri NATO waingie Ukraine wakapambane na Russia na baadae Russia kutoa onyo kua wakiingia Ukraine NATO yote ni halali...
Burkina Faso ikiwa chini ya Ibrahim Traoré kwa mpito umepitisha muswada wa marekebisho ya Katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha rasmi badala ya Kifaransa ambayo sasa imeshushwa...
Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi.
Hata vikosi...
Wale wasio na uelewa mpana wa mwenendo wa vita wanapima mafanikio ya vita kwa kuwa na ndege nyingi za kijeshi na vifaru na kupiga mabomu mazito kwa mfululizo.
Wanapima pia kwa vikosi vya jeshi...
Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa...
Viongozi wawili wakubwa wa Hamas wamezipuuza jjuhudi za Marekani kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu.
Basem Naim akiwa nchini Uturuki ameyapuuza matamshi ya raisi Biden aliyotoa juzi...
Mkuu wa utawala wa kijeshi nchini Chad Mahamat Idriss Deby Itno amesema leo kuwa atawania uchaguzi wa rais wa Mei 6, siku tatu tu baada ya mpinzani wake mkuu kuuawa katika mazingira ya...
Ukiskia duniani kuna maajabu ndio haya.
Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika
Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa...
Wanaukumbi.
The Russian foreign minister says it is unacceptable that Israel is using Hamas’s October 7 offensive as justification for a collective punishment of Palestinians in Gaza and has...
Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude
Mchina, Russia wanatamani lakini wapi...
Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi.
Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha...
Njia mashuhuri ya meli za kibiashara ya Suez Canal kutokea red sea ni kama kwamba imefungwa kutokana na mashambulio ya Houth.
Meli peke zinazopita bila wasi wasi ni zile zinazotoka ama kuelekea...
Grace alikuwa Mke wa Rubani wa Jeshi la Zimbabwe na akapata kazi Ikulu. Akiwa Ikulu akaanzisha Mahusiano na Mugabe, Mwisho Mugabe akampa mimba 2.
Ikabidi ndoa ya Grace na Mwanajeshi Ivunjike...
[emoji599]BREAKING: STATEMENT ISSUED BY PALESTINIAN FACTIONS IN MOSCOW.
[emoji1193] Statement issued by the meeting of Palestinian factions in Moscow:
—
“In the name of Allah, the Most...
Bunge la Ghana leo imepitisha mswaada wa kupambna na watu wanaojishughulisha na Mambo ya ushoga
Kwamba ikiwa utatambulika Kama shoga Basi Ni jela miaka mitatu ,na Kama una promote Mambo ya ushoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.