Pamoja na kuwa Paul Kagame kutokuwa na rafiki wa kudumu muda wote lkn Nyamvumba anawekwa kundi moja na Kabarebe kama marafiki wa muda mrefu na Kagame. Nyamvumba anatajwa kama rafiki wa Kagame toka...
Naangalia Clips za Huko Kivu, utagundua tofauti kubwa kati ya vita vya wazungu kwa wazungu nq vita vya Watu masikini (Waafrika) wa kipato.
Utagundua.
1: Wazungu hawaonyeshi raia wao wakilia njaa...
Kama mwandishi wa habari huru nilikua nachunguza viini vya migogoro katika maeneo ya ukanda huu wa maziwa makuu.
Nilibahatika kufanya mahojiano ya kina na washirika wa iliyokua serikali ya Rwanda...
Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile.
Amesema kwa...
Tukiwa tunaona nakushuhudia nguvu kubwa Israeli kubomoa ukanda wa gaza wote kama inavyojinasibu kuwa ni operation lakini kwa wachambuzi wa kivita wanasema Israel inatafuta mateka wakiyahudi 253+...
Haya wadau,
White House warns it is running out of money to help Ukraine fight its war with Russia
The White House has warned that the US is running out of time and money to help Ukraine fight its...
Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.
Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya...
Magari mawili ya kijeshi ya Tanzania yamepigwa na makombora yaliyorushwa na waasi wa M23 katika mji wa Sake nchini Kongo, walioshuhudia wameiambia BBC.
Chanzo cha jeshi la Kongo na shahidi wa...
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion
✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono
✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini
✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu...
Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa pato la taifa la China la mwaka 2023 liliongezeka kwa asilimia 5.2 ikilinganishwa na mwaka 2022. Lakini likihesabiwa kwa dola...
Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha.
Miongoni mwa waliofariki...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa...
Nigeria imeanzisha ushuru wa lazima wa kila mwaka kwa mashirika yanayoajiri wafanyakazi kutoka nje, inayowahitaji kulipa $15,000 (£12,000) kwa watu wenye cheo cha mkurugenzi na $10,000 kwa...
AFYA: Nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zinakabiliwa na uhaba wa Chanjo za Kipindupindu huku Ugonjwa huo ukiwa umeathiri takriban Watu 96,000 na kusababisha Vifo zaidi ya 1,600 katika Nchi...
Takwimu rasmi zinaonesha GDP ya Israel imeshuka kwa 19% robo ya mwisho ya mwaka 2023. GDP ya Israel iliathiriwa moja kwa moja na kuzuka kwa mgogoro huo Octoba 07 mwaka jana, ilisema ofisi ya...
Mheshimiwa Rais karibu sana nchini kwetu. Nchi yako imepitia migogoro mingi sana ya ndani na mingine na nchi jirani. Naomba tafakari na fuata utaratibu unaofaa juu ya kupata eneo la bandari kule...
China ni nchi inayoendelea kufanya ugunduzi mkubwa wa vitu vya kale kupitia wanaakiolojia wake. Kutoka ustaarabu uliopotea, jeshi la terracotta hadi tambi za kale zaidi duniani, vyote hivi...
Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao...
Kuwait MP calls for foreign...
Tume ya mazungumzo ya kitaifa nchini Senegal inapendekeza uchaguzi mkuu wa urais kufanyika tarehe 2 ya mwezi Juni mwaka huu hatua inayokuja baada ya tarehe ya awali kucheleweshwa.
Ndiawar Paye...
Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.