Afrika Kusini itatuma wanajeshi 2,900, kama sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinachotarajiwa kukabiliana na makundi yenye silaha mashariki mwa...
#LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha...
Experts say the Zircon, if it lives up to what the Russian government says about it, is a formidable weapon.
Its hypersonic speed makes it invulnerable to even the best Western missile defenses...
Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran.
===========
A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for...
Baada ya kikao cha usiku kucha baraza la seneti limekubali na kupitisha msaada mkubwa wa dola karibu bilioni 100 kwa nchi mbili marafiki ambazo ziko vitani.
Sehemu ya msaada huo itakwenda Israel...
Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom.
Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya...
Vita vinaingia mwezi wa tano. Wapalestina wa Gaza wamepiga makelele sana na hawakupata msaada wanaostahiki. Sasa ni mayowe tu kutoka kila eneo mfano wa yale mayowe ya watu waliovamiwa na majambazi...
Huku tukiendelea kuandamana na kuwa na uchungu wa mnyang'anyano wa aidhi baina Waarabu na Wayahudi, hebu pia tuweni na kauchungu fulani hivi kwa Waafrika wenzetu karibia milioni 7 hapo DRC...
Yaani hii UN wakati mwingine huwa sielewe uwepo wake.
Imagine si mara ya kwanza wao kusema jeshi la Rwanda linahusika katika vita hivyo jana tu wametoa Ushahidi wa picha ya magari na vifaa vya...
Hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la Marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa...
Mzuka wanajamvi.
Yani inapendeza sana ukiwa kati ya wateule na watakatifu (the chosen ones).
Kwenye hiyo video hapo chini myahudi mweusi kwenye jeshi teule na takatifu IDF mzuka umemshika...
Sawa na SoMo hapo.juu.
Hawa makamandawa kundi la waasi wa m23 ambao tulizoea kuwaona kwenye midia wakieleza misimamo ya kundi lao na kuendesha mapigano dhidi ya serikali Kwa Sasa ni muda...
Mpaka sasa HAMAS wameshaelewa muziki wa Myahudi, kwamba Myahudi ni katili, hajali hata ukijificha nyuma ya akina mama na watoto, anafyatua tu, walijaribu hizo mbinu aisei Wayahudi wakawa wanapiga...
Jamaa waliwekeza data center yenye mitambo mikali chini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa ambalo lilibuniwa kwa ajili ya kuwasaidia Wapalestina maskini.
Mazombi mnasaidiwa kwenye njaa zenu...
Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la...
Habari zenu, kama mnavoona hapo juu baada ya hussling za miez kadhaa hapa Toronto nikiri kwamba mambo ni magumu watu ni wengi hakuna ajira, nataka nikajaribu jimbo tajwa hapo juu, naomba kama kuna...
The blackouts, commonly referred to as load-shedding, are a critical measure aimed at preventing a complete collapse of the strained electricity grid.
Eskom, the state-owned power utility, has...
Waziri wa mambo ya nje wa lebanon amenwomba waziri wa diplomasia wa ufaransa kuwasihi israeli isiitandike lebanon
Upande wa nchi wa lebanon umekuwa kimbilio kwa magaidi yenye asili ya palestine...
Je Kuna Kiongozi wowote wa Bara la Afrika anaweza kufanya kama alivyofanya huyu Mtemi wa Korea ya Kaskazini? Thubutu yake Hakuna kiongozi wa Bara la Afrika anayeweza kufanya hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.