International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ina lengo la kurejesha adhabu ya kifo, ambayo ilisitishwa miaka 20 iliyopita, kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini dhidi ya waasi wa M23...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi. Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Rais wa congo yuko mjini Gaborone kwa ziara ya kikazi na leo amesema kikosi cha Afrika mashariki kilichopelekwa nchini mwake hakijafanya lolote la maana na kimeanza kushirikiana na waasi wa M23 na...
12 Reactions
92 Replies
9K Views
Tatizo la waarabu ni kupenda fujo alafu watu wakianza kulipiza kisasi wanaanza kulia lia tuoneeni huruma tuoneeni huruma, Inshort waarabu ni wakorofi na Nguvu za kupigana hawana Ukiangalia hii...
0 Reactions
5 Replies
487 Views
Ni aibu sana kwamba hata ilmu ya dunia haiwakomboi mazombi wa kidini... https://twitter.com/ntvkenya/status/1756679714809205215
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Hii Iran moja ndio ilitoa mikwara sana kwamba Israel ikivamia Gaza itakua imevuka mstari mwekundu, sasa imeishia kuomba omba kwa kauli za kinyonge kwamba Israel izuiwe kucheza mpira wa FIFA...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel...
7 Reactions
371 Replies
10K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita na kuwaachilia mateka ili kubadilishana na kuondoa majeshi ya Israel, kuwaachilia wafungwa na kukubali...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto Mtu huyo alitiwa hatiani kwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Helikopta iliyokuwa na watu sita, ikiwa ni pamoja na mwanzilishi wa benki kubwa zaidi nchini Nigeria, imeanguka jangwani kusini mwa California karibu na Mojave National Preserve, mamlaka zimesema...
3 Reactions
3 Replies
452 Views
Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu leo pale waandamanaji kwenye mitaa tofauti ya Tel Aviv kuziba njia kuu za usafiri. Hata hivyo...
4 Reactions
8 Replies
748 Views
https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19 -Putin anajua historia sana -Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika -Putin...
19 Reactions
110 Replies
7K Views
"Hakuna mtu atanipa kashfa ikiwa nitatoa baraka zangu kwa mfanyabiashara anayewanyonya watu, na hii ni dhambi kubwa sana. Lakini nitapewa kashfa ikiwa nitatoa kwa wapenzi wa jinsia moja, Huu ni...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Mashinikizo ya vita yameanza kumuelemea waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na kuanza kuona dalili mbaya mbele yake. Marekani mbali na kutofautian naye katika sera za kivita vile vile...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Congo is the promised land. Congo is the land filled with honey. Congo is the land filled with Natural resources. Congo is the Richest land on the planet. Congo is the land filled with Mineral...
1 Reactions
2 Replies
654 Views
Angalia hapa jinsi Waumini wanavyomwagiwa juisi zenye upako kutoka kwa Mchungaji. Nini maoni yako?
0 Reactions
9 Replies
890 Views
Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote.... Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii.... Katukanwa sana...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
DR-CONGO: Ripoti ya Shirika la Misaada ya Kibinadamu la #SaveTheChildren imeonesha takriban Watoto 78,000 wamelazimishwa kuondoka katika makazi yao katika kipindi cha wiki chache zilizopita huku...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Back
Top Bottom