Israel sasa inapitisha mizigo yake kwa njia ya barabara ndani ya mataifa ya Waarabu, huku magaidi ya dini yakipambana kushambulia meli, waarabu kwenye mataifa mengine wanafaidi, hamna cha dini...
Wanajeshi watatu wameuliwa katika kituo cha kijeshi cha Jordan katika shambulio la ndege zisizo na rubani au drone.Cha kushangaza wote ni black america!!(Africa amerika)
Kwa wasiofahamu marekani...
Katika tukio muhimu la kidiplomasia, Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anatazamiwa kuhutubia Mkutano wa Serikali ya Dunia (WGS) huko Dubai kama "mgeni wa heshima" mnamo Februari 14.
Hii itakuwa...
Hii Ndio Taarifa ya leo kwamba Jeshi la Israel linaingia mji maarufu wa Wapalestina kwenye miundombinu mbalimbali ya Misaada Rafah
Source Al jazeera news
Wakuu wa baadhi ya makampuni makubwa ya mitandao ya kijamii duniani wamehojiwa na wanasiasa katika Seneti ya Marekani na kukaangwa vilivyo kuhusu ulinzi wa watoto mtandaoni.
Wameulaumu uongozi wa...
Ikhwanul Muslimiin ni harakati kongwe sana nchini Misri ambayo hatimae iliweza kupenya mataifa kadhaa ya kiislamu.
Upeo wa mafanikio wa Ikhwaan au muslim brotherhood ni pale chama hicho kilipoweza...
Kuna mpango kabambe wa UN kutumia/invoke article 6 ya UN charter kutimua US kusitisha kua mwana chama UN tena na veto power yake itakua no more.
US imekua kizingiti kikubwa kwenye Amani ya dunia...
Wanaukumbi.
BREAKING: KING CHARLES ANA SARATANI - TAARIFA RASMI YA KIFALME
"Wakati wa upasuaji wa hivi majuzi wa hospitali ya The King kwa upanuzi wa tezi-dume isiyo na nguvu, suala tofauti la...
SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha...
Marekani wamepiga kila kinachohusiana na Iran huko nje hadi Iran ameng'aka, kwamba kwa vyote mnavyopiga msiguze hizi meli maana tutapigana sasa......hehehe
Haya yetu macho maana Marekani...
Kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na Wizara ya Biashara ya China, jumla ya biashara kati ya China na Afrika iliongezeka kwa 1.5% mwaka 2023 kuliko mwaka 2022, na kufikia rekodi mpya ya...
Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta...
Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi,
Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa...
Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.
Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea...
Jana nilikuwa na tour za kutembelea bar kadha hapa mjini dodoma
Kwanza nilianza kwa Steve liquor area C ,pale Nimekuta kundi kubwa la vijana wamejazana ktk viti wakipiga ulabu na nyama kwa wingi...
Waziri wa Usalama mh Ben amesema Marekani haitoi ushirikiano timilifu kwa Israel kwani kwa kitendo cha kutoa Misaada ya Mafuta, Chakula na Dawa kwa Palestine Misaada hiyo inaangukia mikononi mwa...
Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria.
Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni...
Marekani yasema inachofanya huko Mashariki ya Kati ni kupeleka Amani kwa nchi za Waarabu
Kazi ni moja tu kuvisambalatisha Vikundi vyote vya Magaidi ikishirikiana na Washirika wake
Source Al...
Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile...
Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ?
Hivi hivi Senegal inaweza kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.