International Forum

News and Stories from rest of the World
Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha...
2 Reactions
80 Replies
4K Views
Na hapo movie ndio inaanza tu.... US launches retaliatory strikes in Iraq, Syria; nearly 40 reported killed The strikes hit targets including command and control centers, rockets, missiles, and...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Wengi wanadhani WAZAYUNI ni WAYAHUDI kitu ambacho sio sahihi kabisa Huitaji kuwa MYAHUDI kuitwa MZAYUNI. ndio maana RAIS WA USA JOE BIDEN alitamka wazi kuwa YEYE NI MZAYUNI na sio MYAHUDI...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Pakistan imezuia Huduma ya Internet kwa simu za mkononi nchini kote wakati zoezi la kupiga kura lilipoanza leo Februari 8, 2024 katika Uchaguzi Mkuu, huku Wizara ya Mambo ya Ndani ikisema uamuzi...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Hii Ndio Taarifa ya huzuni kabisa iliyotangazwa na BBC hivi punde Imefafanuliwa zaidi kwamba waliokufa ni Mateka 31 Kati ya wale wanaoshikiliwa na siyo wote Hali ni mbaya Mashariki ya Kati...
6 Reactions
107 Replies
5K Views
Mji umebaki ukiwa, watu wameuawa na wengine wengi kupoteana, mpaka sasa kama HAMAS hawajutii, bila shaka hao ndio magaidi wa dini haswa. Recently, the United Nations agencies have released...
0 Reactions
12 Replies
788 Views
ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa...
1 Reactions
2 Replies
573 Views
BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo. Kamati ya...
1 Reactions
4 Replies
744 Views
Kutokana na mashambulizi ya Houth Uingereza imesalimu amri na kuamua kuindoa manowari yake moja ambayo imepata hitilafu za makombora ya wa Houth katika redsea.
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka...
0 Reactions
1 Replies
501 Views
Kuna Rais anapendwa duniani kuliko huyu? Amepata ushindi wa asilimia 100 kwenye majimbo yote nchini kwake. Hata Magufuli hakufikia kupendwa hivi.
7 Reactions
22 Replies
1K Views
SENEGAL: Wabunge wa chama Tawala na wengine wanaounga mkono Serikali, wamepiga Kura na kupitisha ombi la Rais Macky Sall, la kuahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Februari 25, 2024 ambapo...
0 Reactions
5 Replies
742 Views
Hivi sasa serikali ya Afrika kusini imetangaza ni kosa kisheria kwa raia wa nchi hiyo kusaidia kupigana upande wa majeshi ya Israel huko palestina na kwamba kwa yeyote atakayetiwa hatiani...
4 Reactions
7 Replies
571 Views
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo...
17 Reactions
83 Replies
4K Views
Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa mpasuko kupitia wizara ya mambo ya nje Saudi Arabia ambayo inatajwa kuwa ni mshirika wa karibu wa Marekani na Israeli imeendelea kutoa msimamo wake kuwa hakutakua na uhusiano wa...
0 Reactions
14 Replies
910 Views
Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana. Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi...
3 Reactions
9 Replies
563 Views
UAE in talks to buy Egypt coastline for $22bn The United Arab Emirates has expressed an interest in buying the Ras El Hekma area on Egypt’s northern coast as a form of economic support for...
0 Reactions
3 Replies
635 Views
Wema hulipa. Kasimamia ukweli na kugoma kutetereshwa na hisia za kinafiki, na sasa huyo kateuliwa naibu rais. --- What you need to know: Before joining the ICJ, Sebutinde was a judge at the...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Back
Top Bottom