PICS| Manhunt Launched For CIT Robbers Following Heist On Golden Highway, South Of JHB
The suspects proceeded to detonate explosives, causing the cash van to be destroyed. They then fled the...
Umoja wa Ulaya kwa kauli moja ya wanachama wote 27 wamepitisha kitita cha msaada wa Euro billion 50 kwa ajili ya Ukraine.
Orban wa Hungary aliyekuwa ameweka mkwamo wa pesa hizo kutoka kwa muda...
Karibu wamarekani wote weusi wanaiunga mkono Palestina na kulaani mashambulizi ya Israel ndani ya Gaza.
Wamarekani weusi wamekuwa wanaongoza kampeni za kumtaka rasi Biden aizue Israel isiendelee...
Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.
Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi...
Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali.
Masen leo...
Vita na Marekani juu ya Alaska "haviepukiki," asema Medvedev. Kulingana na yeye, Urusi haitarudi Alaska, ambayo iliuzwa kwa Marekani katika karne ya 19.
"Naam, iwe hivyo. Na tulitarajia Alaska...
Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya...
Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida
KAMA kuna mtawala wa kijeshi aliyewaweza Wanigeria basi alikuwa Ibrahim Badamasi Babangida (IBB) au “Maradona”, kwa umaarufu wake wa...
Kumekuwepo na kelele nyingi kuhusu dissapora wa Kinyarwanda waliopo ugenini, kwamba kila Mnyarwanda ambae yupo ugenini au kwenye kambi za wakimbizi ni intarehamwe.
Hizi ni jitihada za makusudi za...
Dunia inakoelekea kuna dalili zote kuwa Marxism inarudi. Tayari BRICS (wafuasi wa Marxism) pekee imeishateka 17.% ya eneo la sayari ambapo wanachama waanzilishi pekee wana soko la walaji lenye...
Mimi ni pro Israel kweli kweli. Ila ni mtu mwenye msimamo wa kujifunza kutoka kwa mtu yeyote hata kama ni adui Yangu
Ukweli ni kwamba safari hii Israel amekutana na kisiki. Vita hii ni ngumu sana...
Hivi karibuni, Shirika la habari la Marekani Bloomberg lilitoa ripoti yenye kichwa kinachosema “China imesababisha hasara ya dola bilioni 130 za Kimarekani kwa sekta ya utalii duniani.”
Ripoti...
Nchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.
Hii pesa ni nyingi sana kwa maisha ya Afrika. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni...
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesimamishwa Uanachama wa chama Tawala cha African National Congress (ANC) akidaiwa kukataa kupiga Kura ndani ya Chama pamoja na kushiriki kuanzisha...
I don't know why US is hesitating to attack Iran wanataka ushahid gani kudhibitisha kuwa ni magaidi? Irani ni tatizo sana wanafadhili vikundi kila mahali dunian wanagawa pesa na kila silaha...
Moja kwa moja kwenye mada..
Mkazi mmja wa Texas Marekani aliyetambukika kwa jina la Sherrod MCGrity ahukumiwa kwenda jela
siku 48 kwa kosa la kupiga punyeto mara kadhaa akiwa anasafiri na...
One Texas Secessionist Who Fled Into Mountains Is Killed
A member of the militant secessionist group known as the Republic of Texas was shot and killed today in a gun battle with the Texas...
Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na...
Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.