Kufuatia taarifa kuwa UNRWA, taasisi ya Umoja wa Mataifa inayowasaidia wakimbizi wa Palestina, kushiriki kwenye shambulio la Hamas dhidi ya Israel, idadi ya mataifa yaliyoamua kusimamisha misaada...
Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani.
Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake...
Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa.
TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu.
Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua...
Mzuka wanajamvi.
Hizi ndo picha za vijana wadogo waliouwawa Jordan na suicide drones za magaidi wa Iran.
Wote ni watatu ni Black Americans.
Picha za Kwanza ni Kennedy Ladon Sanders miaka 24...
Ndio dunia yetu ilipofikia, yaani wanaitana ndugu kama waarabu na pia dini ila kila mtu anavutia kwake, fursa ikijitokeza unatupa maadili kule na kujichukulia mihela, lori la misaada kupita lazima...
Huku kukiwa na mzozo wa kikabila nyumbani, jumuiya ndogo kaskazini-mashariki mwa India inajaribu kuhamia Israel, ambako wanasema mizizi yao ni uongo.
---
Aizawl, India – Joseph Haokip, an...
Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko...
Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira....
GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked...
Kwa picha: Mazishi ya Wapalestina 3 waliouawa kwa kupigwa risasi na jeshi la Israel huko Jenin
Duru za kimatibabu za Palestina zimesema kuwa kikosi maalumu cha Israel kimewaua Wapalestina watatu...
Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida.
Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee...
Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23
Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la...
Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki..
Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na...
Serikali ya Nigeria imesema Jumanne kwamba watu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi sita na walimu watatu kutoka shule moja katika jimbo la Kusini Magharibi la Ekiti usiku wa Jumatatu, hii...
Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa....
Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast
The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely...
Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine...
Nadhani hii ndio strateji sahihi.
Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa...
Bila kwenda mbali kuhusu Historia ya mgogoro na vita inayoendelea sasa kati ya Israel na Hamas ukanda wa Gaza ni wazi Utawala wa Netanyahu umekosea pakubwa kimkakati katika hii vita.
Kuanzisha...
Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha.
“Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha...
Katika shambulio lilofanywa na drones huko Syria kutoka Islamic resistance katika kambi isiyo rasmi ya marekani limesababisha kuwauwa askari watatu wa Marekani kuwajeruhi zaidi ya 30.
Rais Biden...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.