International Forum

News and Stories from rest of the World
Jeshi la israel linaripotiwa kuvuka mpaka na kuingia katika ardhi ya lebanoni usiku kucha. Iwapo itathibitishwa hii itakuwa mara ya kwanza kwa jeshi la Israel kuingia lebanon tangu 2006 na...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Marekani unafanyika mwaka huu mwezi November Democract itawakilishwa na Biden, raisi wa sasa wa USA wakati upande wa Republican, bado hanapatikana mgombea lakini wako kwenye mchakato...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku...
16 Reactions
173 Replies
8K Views
GAZA/ISRAEL-GAZA BORDER/ DOHA, Jan 17 (Reuters) - Israel stepped up its assault on Khan Younis in southern Gaza on Wednesday, pushing tanks westwards and prompting accusations from Jordan that its...
1 Reactions
0 Replies
564 Views
Wanamaji wawili wa Marekani hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na Wapiganaji Houth NB: Ukiona Marekani amesema wawili ongeza 28 [emoji298]️BREAKING Mysterious disappearance of two US...
15 Reactions
92 Replies
5K Views
BREAKING; Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
[emoji1130] Tonight marks Iran's longest range missile operation, targeting terrorist centers from a distance of more than 1,230km. Analysts have considered this action as a clear message from...
4 Reactions
10 Replies
913 Views
Baada ya isis kuvamia maeneo ya Iraq na Syria ambapo ndipo ilikuwa ngome ya ufalme wa Babylon walikutana na sanamu na vivutio vingi vilivyosalia vya kale. Wallijifanya kutengeneza propaganda...
0 Reactions
1 Replies
416 Views
Hivi karibuni, Shirika la Habari la CBS la nchini Marekani lilichapisha waraka kuhusu safari ya ujumbe wake mkoani Xinjiang. Tofauti na habari zisizo za kweli zinazotangazwa na vyombo vingine vya...
0 Reactions
5 Replies
634 Views
Taarifa zilizovujishwa na waliokuwa maofisa wa ujasusi nchini Marekani kwa gazeti la Wall Street (WSJ) zimewaacha watu wakiduwaa. Inadaiwa kuwa, mtandao wa Shirika la Upelelezi la Marekani (CIA)...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua...
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Donald Trump ameshinda big sehemu ya kwanza ya mbio za kugombea uraisi kwa tiketi ya chama cha republican huko Iowa, ameichukuwa 51% akifwatiwa na Desantis 21% na nimarata nikki 19%. God Bless...
17 Reactions
46 Replies
2K Views
Aisee sikujua Netanyahu na utawala wa Israel unachukiwa hivi na wananchi wake Maandamano kama haya yangetokea Tehran sahz humu JF kuna watu wangekua washajaza Server kwa thread zao!! Israeli...
10 Reactions
91 Replies
3K Views
North Korea: 'Do not want war, but do not intend to avoid it either', Kim called unification with South Korea 'impossible' Kim Jong Un News: The Parliament of North Korea has announced the...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇺🇸🇮🇷 Iran ilishambulia moja kwa moja kambi za Marekani nchini Iraq Maafisa wa Marekani wanaripoti shambulizi la Kombora la Balestiki la Iran na Mashambulizi ya Drone...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza amenukuliwa akisema "the era of the peace dividend is over" kwa tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili ikimaanisha kipindi cha mvuno wa amani kimeisha. Ameendelea mbali...
7 Reactions
97 Replies
21K Views
Kama sio Iran basi magaidi wangekua wameiteka Ulaya yote na Africa!! Kama sio msimamo na nguvu za Jamhuri ya kiislam ya Iran leo hii ulaya yote na Africa ingelikua chini ya magaidi hatari wa...
3 Reactions
6 Replies
580 Views
Kampeni ya anga inayoongozwa na Marekani dhidi ya Houthi haitatosha peke yake kuzuia tishio la uhuru wa kusafiri kwenye Bahari Nyekundu, Mumbe Mkuu wa Serikali ya Yemen inayotambuliwa na Umoja wa...
4 Reactions
8 Replies
669 Views
WANAJESHI WA ISRAEL WALIOTEKETEZWA KWA SIKU 100 NI MAELFU KWA MAELFU ILA WANAFICHA TU DATA [emoji298]️| [emoji288] BIG SUMMARY of all resistance operations yesterday, January 15 (2024), against...
2 Reactions
3 Replies
604 Views
Maafisa wa Jeshi wamemkamata Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Thomas Dietrich Mjini Conakry, alipokuwa akichunguza madai ya ufisadi katika Kampuni ya Serikali ya Mafuta (SONAP) huku kukiwa na...
2 Reactions
7 Replies
873 Views
Back
Top Bottom