International Forum

News and Stories from rest of the World
Hii picha huwa naitazama sana, hii picha inaongea maneno mengi sana, hii picha ina maana nyingi sana, hii picha inasema mengi sana daaaah
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Chama cha UDPS cha Rais wa Kongo Felix Tshisekedi kimeshinda asilimia 12 ya viti vya bunge katika uchaguzi wa Desemba, na kukiweka chama hicho mbele ya vyama vingine 44 vilivyopata kiti kimoja au...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Zimetimia siku 100 tangu wanamgambo wa Hamas waivamie Israel na kuuwa raia wasio na hatia 1200. Takwimu zinasomeka hadi sasa Wapalestina takribani 24,000 Wengi wao wakiwa ni Wanawake na Watoto...
3 Reactions
5 Replies
420 Views
Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji...
27 Reactions
275 Replies
35K Views
Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamaa alikua ni mwanasayansi mkubwa sana wa Israel, mwanaanga na mtaalam na ndiye mwasisi mwa mipango ya makombora na silaha na wa kutegemewa sana kwa ajili ya jeshi na taifa la Israel aliuliwa na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke. Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Hii ni baada ya hayo magaidi ya kidini kupigwa na Marekani, sasa kila mmoja anajtokeza kuwalaani..... The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent...
1 Reactions
0 Replies
408 Views
Ajabu sana yaani, kwamba hawa magaidi wa kidini ilipaswa waachwe waendelee kulipua meli za watu bila kufanyiwa chochote, jameni Mungu tulinde sana haya mataifa ya uzombi wa kidini yasije kuwa...
2 Reactions
10 Replies
723 Views
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao umesaidia katika vita dhidi ya Waasi kwa zaidi ya miaka 20, unatarajiwa kuondoka rasmi Nchini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi, Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi. Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake. Kumbuka...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham. Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran...
2 Reactions
10 Replies
790 Views
Hizi habari zinanichanganya, mbwa kala mbwa au mwenye uelewa wa hawa watu atusaidie, iweje Oman huko huko wakamate drones zinazopelekwa Yemen kutokea UAE, si wote kitu kimoja? ===== Omani...
2 Reactions
7 Replies
940 Views
Marekani na Washirika wake wameendelea kuzishambulia kambi za majini za Magaidi wa Houthi Ni mashambulizi ya mfululizo yanayoonekana yamepangwa kimkakati sana Source Al jazeera news Mlale Unono!
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Kiufupi sana nimefuatilia mgogoro huu tangu nikiwa shule na sasa mm ni mtu mzima, ukiniuliza nini suruhisho la mgogoro kati ya isirael na palestina jibu ni moja ni vita ndo itamaliza mgogoro huu...
0 Reactions
5 Replies
385 Views
Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno. Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Hiyo Ndio taarifa ya hivi punde kupitia BBC Kiukweli Dunia inapitia kipindi kigumu sana tumuombe sana Mungu wa Mbinguni aturehemu Jumaa Mubarak === U.S. officials assess that there’s a...
9 Reactions
105 Replies
5K Views
Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi. Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa...
1 Reactions
4 Replies
654 Views
Back
Top Bottom