Tumekuwa tukiambiwa humu kwamba Hezbollah watafanya....haya hao sasa wanaepuka kichapo...
Hezbollah has withdrawn its forces from the Israeli border by two to three kilometers, Maariv reported...
Ikitokea China amekuwa super power, hali ya Dunia itakuweje? Je tutanyanyasika duniani? Demokrasia, Uhuru itakuweje. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje?
Toa maoni yako
Huyu ndie Rais wa mchongo wa Palestina kwa huu muonekano huyu ndo ataweza kulikomboa taifa la Palestina kweli?
Hana hata furaha huyu hata sura ukimuona keshajikatia tamaa kwamba Palestine itarudi...
Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda...
Miji ya Lusaka na Zimbabwe imekumbwa na tatizo la kipindupindu. Mji wa Lusaka watu wanakufa na kipindupindu kama walivyokuwa wanakufa kipindi cha Corona.
Sijui ni mlipuko au ni Uchafu. Wajuzi wa...
Wanajeshi wa Israel wamepiga bomu Makaburini na kufanya makaburi kupasukapasuka na miili ya marehemu waliozikwa hivi karibuni kutapakaa hovyo
Wapalestina wameiomba Marekani iingilie Kati...
Mpaka sasa Israel wanaendelea kuonya tu, wanapiga mdogo mdogo na kuonya Hezbollah maana kitu watakachokifanya pale Lebanon, mtaanza kulia lia kwamba wanaua hadi watoto.......
Hapa wamemuua...
Israel bado wanaonya, ifahamike hawajafanya kitu Lebanon, hapa wanaendelea kuonya tu. Endeleeni kuwachokoza ila msije mkalalamika na kulia lia kama inavyotendeka Gaza.
=======
Israeli strike in...
Madaktari Wasio na Mipaka ambao wamekuwa Msaada mkubwa kwa majeruhi wa Palestine huko Al Aqsa Hospital Gaza City wametangaza kuondoka kwa Sababu za kiusalama
Madaktari hao wamesema Israel imekuwa...
Haka kadunia ketu naona tunaelekea kukafuta hivi hivi tukiona.
========
AIKEN, U.S. -- While China is bolstering its nuclear capabilities, the U.S. -- the first country to produce atomic...
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.
Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana...
Wanaukumbi..
⚡️[Itathibitishwa]
Habari za kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Kiyahudi Jerry Yorkam, ambaye aliandika ripoti inayoelezea idadi ya Wayahudi waliouawa katika vita vya Gaza baada ya...
Wanaume kazini.
==========
The IDF says it has hit a Hezbollah "command centre" in Lebanon in retaliation for strikes towards Israeli territory.
An Israeli fighter jet carried out the strike in...
Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo...
2023 umetajwa kuwa Mwaka ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo na majeruhi ya raia kuliko wakati mwingine wote ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita, hiyo ni kutokana na Utafiti wa Shirika la...
Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia...
Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa...
Waziri mkuu wa Israeli katoa kilio Cha uchungu baada ya kunyeshewa mvua ya mabomu na Hezbollah sasa anaomba msamaha na ombi la kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah, Ni matarajio yangu...
Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023.
Bongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.