International Forum

News and Stories from rest of the World
Leo nimemuona Rais wa Rwanda akiwasili Mapinduzi Day Zanzibar. Siku tano nyuma kwenye match ya football niliona Waziri na Mkuu wa majeshi msitafu wa Rwanda Bw James akiwa uwanjani Amani Stadium...
3 Reactions
7 Replies
897 Views
Mjumbe wa baraza la mapinduzi la Yemen,Mohammed Ali Houth amejibu azimio la Umoja wa mataifa linaloitaka kuacha kushambulia meli kwenye bahari nyekundu. Akijibu azimio hilo,kiongozi huyo wa Houth...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Uchumi wa Libya ni GDP 40 billion usd. Population ya Libya ni 7 million. Kipindi cha utawala wa Gaddafi tuliambiwa wananchi wa Libya walibudumia Mambo mention bure na serikali ya Gaddafi...
8 Reactions
109 Replies
4K Views
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani. https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20 Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Afrika Kusini kaishikia bango Israel. Ngoja tuone kama Israel itarudi nyuma. Habari kamili; Sanamu ya marehemu Askofu Mkuu wa Afrika Kusini Desmond Tutu iliyofunikwa kilemba cha Wapalestina...
1 Reactions
1 Replies
494 Views
Huwa mnachokoza Israel, mkijibiwa mnasema wamepiga raia na watoto.... Lebanon walishaonywa kwamba watafanywa kama Gaza. === An Israeli strike on a civil defense center in southern Lebanon on...
2 Reactions
4 Replies
696 Views
Netanyahu ametoa mlio.. Netanyahu: At a time when "Israel" is fighting the genocide of its own people, it is accused of genocide Today, we saw a world turned upside down as we fought terrorists...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Waarabu walitoka kwao Uarabuni wakavamia Ardhi zetu za bara la Afrika nchi za Africa kaskazini ziwe Moroco, Algeria, Libya, Misri, nk, na wanakalia ardhi hizo Kwa nguvu ambazo ni ardhi za waafrika...
11 Reactions
145 Replies
3K Views
Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe. Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda. Kabarebe...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
4 Reactions
97 Replies
3K Views
1. Russia na China zilikuwa na uwezo wa kuzuia azimio UNSC dhidi ya Yemen kupitishwa. 2. Siku Moja baadaye kimenuka huko; bila shaka Pana vita kamili sasa. 3. Ikumbukwe kwenye azimio hilo China...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Umoja wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika na Madagascar CECAM umepinga msimamo wa Papa wa kubariki Ndoa za Jinsia Moja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CECAM imesema Maaskofu wa Kiafrika...
3 Reactions
26 Replies
21K Views
BREAKING: [emoji1134][emoji1146] Commander of the IDF's 'Ozal' unit in the Galilee: 'For the first time in the history of our wars with the Arabs, we now find ourselves in a position where we...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Ukiangalia mpaka sasa hivi majina ya Wa Israel ni Yale Yale ya kwenye Biblia Ukisoma Biblia utakutana na majina mengi ya wa Israel. Mfano ni Ehud Barrack, Ariel Sharon, Benjamin Netanyahu, Shimon...
3 Reactions
10 Replies
646 Views
Egyptian air defense shot down a suspected drone off the Red Sea coast near the resort town of Dahab on Egypt's eastern Sinai coast, two security sources said. --- A spokesman for...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika maeneo lisilofahamika, zinaonekana Jet fighters za Uingereza na Marekani zikirushwa kuelekea eneo ambalo kundi la kigaidi la Hauthi kutokea Yemen lilikoweka kambi. Kundi la Hauthi limeleta...
1 Reactions
7 Replies
675 Views
Nyumba za Ibada zimetakiwa kufanyika kwa muda usiozidi Saa 2, agizo linalolenga kupunguza kuenea kwa Ugonjwa 2a Kipindupindu nchini humo Pia, biashara za Vyakula ambavyo vimeshapikwa tayari kwa...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza wakuu,inashangaza kuona islaer akiendelea kuwachinja waarabu huku mataifa ya kiarabu yakiangalia maangamizi ya wapalestina mithili ya nyumbu wanavyomwangalia...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
Back
Top Bottom