Nimeangalia video zinazorushwa mtandaoni na mashirika mbalimbali ya utangazaji yakionyesha hasara anazopata Israeli katika mapigano ya hivi karibuni huko ukanda wa Gaza.
Nimewaonea huruma sana...
Eneo la Somaliland liliojitenga kutoka Somalia tangu mwaka 1991 limekuwa likijiendesha kama taifa bila kutambuliwia rasmi na nchi yoyote duniani.
Hali hii ya kutotambulika sasa inaonekana...
Dunia imeshakumbwa na vita nyingi sana, ila kwa mujibu wa historia zipo vita kuu mbili zilizoigawanya dunia kwenye pande mbili, vita zilizosababisha vifo vya mamilioni ya watu, vita ya kwanza ya...
Tarehe 14, March 1988,kijiji cha bond okay pale burkina faso alisoma mtoto wa kiume aliyepachikwa jina IBRAHIM TRAORE kwa sasa anajulikana kama captain ibrahim traore
Kijana mdogo mcheshi na...
Juzi Israel wamepiga Beirut ndani na kuua naibu wa HAMAS, mara moja Hezbolla wakabwatuka kiama kwa Israel, sasa hao Israel ili kuwaonyesha hamna kitu, wamepiga na kuua magaidi wengine wa...
Aisee Russia economically bado Sana, yeye aliamua kuwekeza kwenye siraha na mabomu. Lakini uchumi wake Ni kichekesho.
GDP ya Russia according to world Bank Ni $1.8t wakati Thamani ya Kampuni ya...
Duniani hakuna haki, Baraka Obama alishinda tuzo ya Amani ya Nobel, mapema kabisa kwenye utawala wake. Lakini tukilinganisha Obama na Trump katika kudumisha Amani ya Ulimwengu, Trump kamuacha...
Kwa msaada wa Google👇
Breaking News | Jeshi la Israel: Afisa wa Uhandisi auawa katika kitengo cha Yahlum katika vita katika Ukanda wa Kaskazini mwa Gaza
Source: Aljazeera
Breaking News |...
Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah...
Hatua ya Marekani kuongeza muda wa kusamehe nyongeza ya ushuru kwa bidhaa za China chini ya ‘Kifungu cha 301’ mpaka Mei 31, 2024 imepongezwa sana na jamii ya wafanyabiashara, lakini bado kuna...
A Clark County, Nevada judge and a marshal were injured on Wednesday afternoon after a defendant who was denied bond threw himself over the bench and attacked the judge, video shows.
It is...
Msemaji wa serikali ya Israel amesema kuwa anahitaji mwaka mzima wa 2024 ili waweze kuishinda Hamas.
Israel imetangaza kuondoa kiasi kikubwa cha wanajeshi ndani ya gaza ili kurudi Israel kwa...
Wapalestina kuonesha kuwa wao wote ni kitu kimoja, akiumizwa mmoja wote wanaumia, wamelianzisha huko West Bank. Wapiganaji wa Al Quds Brigades waliolianzisha wanasema halisimami hilo mpaka...
Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni...
Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi.
Novemba mwaka jana, watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na...
Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro...
Poleni wahanga ila Iran kubwa la magaidi ya dini naona anafanyiwa ugaidi kwake ndani, anaafutwa sana huyu.....
Polni sana lakini mnachokihisi ndivyo huwa kwa wale huwa mnawafanyia ugaidi.....
At...
Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini inakuwa talk of the town!
Dunia imekuwa ikisimama mara kwa mara kwa ajili ya Israel.
Kilimo, sayansi, biashara, uchumi, Vita, ubunifu wanaongoza...
Wanaukumbi.
The Israeli military says it will withdraw five combat brigades taking part in the ground invasion of Gaza so troops can “gain strength” for future battles
===============
Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.