Unajua felix Tshisekedi na chama Lake wanatia aibu nchi hii nafikiri walichukuwa madaraka na walikuwa bado hawajajipanga kuongoza nchi.
Mpaka leo Na shindwa kuelewa rais ni Nani kati ya katumbi...
Baada ya tetesi za karibu wiki leo mjumbe wa ngazi za juu wa Israel kutoka shirika la ujasusi la Mossad amemfuata waziri mkuu wa Qattar ili kuangalia uwezekano wa kusitishwa vita kwa mara...
Leo ndio amekurupuka na kuanza kuwa mkali dhidi ya HAMAS na kulaani walichokifanya na kuamuru waachie mateka. Nakumbuka jamaa alikua analalamika lalamika Israel kuua Wapalestina lakini hakua...
Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi...
Nini maana ya marekani kusema wanakubali falsafa ya Samia. Kwa wale wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi na nchini kwa jumla maana yake jeuri ya tanzania kutaka kujitegemea na kujenga usawa...
Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya...
Nipo hapa Al jazeera news naangalia mchuano wa kampeni za awali za Urais wa Marekani
Kilichonifurahisha tena MNO ni mgombea uRais Mmoja na Wafuasi wake kutumia mbinu ya kupiga Push up iliyoasisi...
Malawi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi kutoka Kenya na Tanzania kutokana na wasiwasi wa kuenea kwa ugonjwa wa Mahindi Lethal Necrosis ambao kunaweza kuharibu chakula kikuu kinachotegemewa...
Ugonjwa wa Dengue umeendelea kuwa ‘mwiba’ barani Afrika ambapo mwaka huu pekee umesababisha vifo vya watu 700 kati ya wagonjwa 170,000 walioripotiwa kwenye nchi 47 za ukanda wa Afrika wa shirika...
Quad ni mtandao wa kidiplomasia kati ya Australia, India, Japan na Marekani.
Kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Blinken alisema...
Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii.
The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting...
Hawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari.
===================
More than 20 countries have joined the US-led...
Hivi kwa anayejua atusaidie kuelewa, baada ya HAMAS kuteka hao watu, walitoa sharti gani mwanzo ili kuwaachia, maana naona sasa wamekubali yaishe almradi Israel iache mapigo zaidi, na hii ni baada...
BROTHER-HOOD OF DARKNESS
Posted on December 22, 2023
This research project started with a 1969 Documentary: Capitalism vs. Communism hoax by G. Edward Griffin
Conspiracy as it operates at the...
Kama kuna kitu kimeshangaza watu wengi ni uamuzi wa DRC kuyatimua majeshi ya kulinda amani ya EAC. Ilitarajiwa kuwa kikosi hicho cha EAC ndio kingekuwa mhimili katika shughuli za kuhakikisha amani...
Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake.
Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote...
Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa...
Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira....
The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote...
Rais wa DRC Felix Tshisekedi ameapa kuichakaza Rwanda endapo atachaguliwa muhula wa pili.
Akihutubia Mkutano wa kufunga Kampeni mjini Kinshasa Rais Tshisekedi amesema endapo Rwanda itaendelea na...
Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa.
Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani..
Wala sioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.