International Forum

News and Stories from rest of the World
Moise KATUMBI anachukua nchi mapema sana. Sera zake za kurejesha amani na kujenga miundombinu ya maendeleo ndio silaha yake kuu. Pia huyu jamaa anatumia Kiswahili katika kampeni zake, hii...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Wanaukumbi. The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanachama na Wafuasi wa Chama cha Republican Nchini Marekani wamelalamikia uamuzi wa uliotolewa na Mahakama Kuu ya Colorado wa kuondoa jina la Rais wa zamani wa Nchi hiyo Donald Trump katika...
0 Reactions
8 Replies
616 Views
Mamlaka inayosimamia Bwawa la Kariba linalotegemewa Kwa Umeme na Nchi za Zimbabwe na Zambia imesema inatarajia kuwa na maji kiwango Cha chini kabisa Cha Lita za ujazo bil.16 ambazo ndio...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
According to the BBC NEWS, an 18 year old hacker who leaked clips of forthcoming Grand theft Auto (GTA) game has been sentenced to an indifinite hospital order. Arion kurtaj from Oxford, who has...
0 Reactions
5 Replies
450 Views
1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA). 2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Sijajua Israel wanataka kuua wangapi ili uwiane utimie... At least 20,000 people have been killed in the Gaza Strip since Israel began bombarding the enclave more than 10 weeks ago, according to...
1 Reactions
3 Replies
345 Views
Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya...
1 Reactions
1 Replies
346 Views
Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi...
4 Reactions
3 Replies
584 Views
Ikumbukwe huyu Papa wa Vatican anaeongoza Kanisa la RC almaaufu Kanisa Takatifu la Mitume kama wanavyojiita wao ameamua kuwaburuza wenzake wafuate msimamo wake. Baadhi ya mambo ambayo anataka...
1 Reactions
100 Replies
9K Views
A - chatGPT like al system called live2vec has been trained to accurately predict the lives of individuals as well as their risks of early death. According to the independent, the al model was...
2 Reactions
5 Replies
675 Views
Wengine wanaweza kusema swali hilo ni kichekesho, lakini hali ilivyo sasa ni swali linalokwenda na wakati na kutaka kupatiwa jibu lake. Tangu wanamgambo wa Houthi waanze kuingia kwenye mapambano...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Israel inawapa wafanyakazi 600 likizo bila malipo na kupunguza majukumu ya kazi ya wafanyakazi elfu nyingine hadi 75%, kama matokeo ya shida ya kifedha ambayo Tel...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka baadhi ya wanachama wa chama hicho kuacha kufikiria nafasi za udiwani, ubunge kwa sasa badala yake wawaunge mkono waliopo katika nafasi hizo. Hayo yameelezwa...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Taarifa kutoka polisi wa Israel ni kuwa Israel ilitumia helicopter za apache kuua raia wake kwenye Nova festival halafu wakawasingizia Hamas!!Ukiangalia Nova festival [emoji599][emoji1134]...
7 Reactions
103 Replies
7K Views
Ikiwa ni mwezi wa tatu wa vita kati ya wapalestina na Israel bado vita vikali vinapiganwa katika ya jiji la Gaza na makombora kurushwa na kudondoka Tel Avivi la karibuni likiwa lile la jana. Hali...
6 Reactions
71 Replies
3K Views
Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini...... MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships...
10 Reactions
117 Replies
7K Views
Tatizo ni kwamba sex desire inakuwa na nguvu kubwa sana katika binadamu na ukiweka sheria kali kunaweza kuwaumiza watu. Sheria kama hizi: ukimtia mimba mtoto wa shule,miaka thelathini jela...
0 Reactions
9 Replies
702 Views
Baada ya jana kutoa tangazo la kuzuia meli zote zinazoelekea Israeli Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu aliwasiliana na marekani na kuwaeleza kuwa kama hawatachukua hatua basi Israeli...
16 Reactions
130 Replies
6K Views
Back
Top Bottom