International Forum

News and Stories from rest of the World
Ndivyo ulivyo huko Gaza Waarabu maneno mengi lakini kwenye kuwasaidia Wapalestina Misaada ya kibinadamu wamewaachia UN na Marekani Waarabu Wana roho Ngumu sana aisee Mungu wa mbinguni wafanyie...
3 Reactions
15 Replies
564 Views
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa kifupi, hili la kurejesha mateka ni namna tu ya kuwapa HAMAS fursa ya kupumua, ila mapumziko kamili ni akhera kule kwa mabikira, kipigo kiko pale pale. =================...
3 Reactions
12 Replies
829 Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Lataka Israel ijiondoe kwenye Golan Heights Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuitaka Israel iondoke kwenye milima ya...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Je, Israel iko tayari kwa taifa huru la Palestina? Vita vya kutisha vinaendelea kati ya Israel na Hamas kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa. Maelfu ya watu kutoka pande zote mbili wamepoteza maisha...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Kupumzika ni binguni ila kwa sasa ni mwendo wa kichapo, pia HAMAS waharakishe wanachokifanya, warejeshe maeka fasta ili turudi uwanjani. Israeli forces are shelling targets in southern Lebanon...
4 Reactions
8 Replies
942 Views
Dunia nzima imekuwa na imani kuwa jamaa wana kila aina ya ujuzi na teknolojia ya kijeshi kuweza kupambana na adui yoyote. Cha kushangaza ni kile kinachoendelea, jamaa wanalazimika kuingia...
13 Reactions
65 Replies
3K Views
Zana mbali mbali za Jeshi la Marekani huko Iraq na Syria zimeibiwa na haijulikani ni nani ameziiba. ========= US weapons, equipment stolen in Iraq, Syria: Report Nov 28, 2023, 11:39 AM Tehran...
2 Reactions
7 Replies
746 Views
Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
6 Reactions
155 Replies
4K Views
Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Kesi dhidi ya aliyekuwa Mama wa Taifa wa Zambia Esther Lungu, mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Edgar Lungu, imeanza mjini Lusaka. Anashitakiwa kwa tuhuma za wizi wa magari matatu, wizi wa...
1 Reactions
3 Replies
769 Views
Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
twitter.com/atras10/status… End of zionist filth is near Activists in Djibouti set fire to an Israeli ship loaded with weapons today, 11/21/2023, It seems that the Yemenis have opened the door...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Israel imepoteza zaidi ya Wanamgambo wake 2985 kwa kipigo toka kwa Wapiganaji wa Kipalestina hii kipigo hicho kimesababisha Israel iamue kupiga chochote Ambulance Shule na Hospital bila bila...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika vitu ambavyo Wayahudi wamepungukiwa ni Karama ya Utambuzi Ndio sababu hata Nchi yao hawaijui. Netanyahu anasema hii Vita itakuwa ndefu, nakubaliana naye kwa 100%. Israel inajua kuna Kundi...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amesema amepokea orodha ya Majina ya Mateka watakaoachiwa na Hamas na hivi sasa wanawajulisha Wana familia Source Al jazeera news
5 Reactions
96 Replies
6K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi...
0 Reactions
3 Replies
514 Views
Kwa mara nyingine hali tete imetokea tena katika eneo la mashariki ya kati. Mbali na mgogoro wa Yemen, na mvutano kati ya Marekani na Iran, mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas umekuwa...
1 Reactions
2 Replies
584 Views
Back
Top Bottom