International Forum

News and Stories from rest of the World
My Take :Je, Kusimikwa kwa Sinagogi la kiyahudi huko Gaza na vikosi vya Israel kibabe ni dalili za Hamas kushindwa umiliki wa Gaza? Sinagogi ni hekalu la wayahudi la kuabudu! .... IDF soldiers...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”. When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tatizo uwongo huwa haudumu, hizi picha bandia za kutengenezwa kwa kutumia Aritificial Intelligence (AI) zilisambazwa sana kwenye mitandao na kusababisha Waarabu kuandamana hatimaye zimeanza...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwa kweli Israel wamebanwa sana katika hii vita.JWanapigana na mtu ambaye anawafahamu sana hasa katika suala la kuvunja makubaliano na kutotekeleza maazimio.Kwa kujua hilo Hamas wamekuwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
twitter.com/warintel4u/sta… Yemen imeitaka Saudi Arabia kuruhusu Wapiganaji wake zaidi ya 10000 kuvuka mpaka ili waivamie Israel na kuitwanga. Yemen Houhtis is asking Saudi Arabia to allow its...
24 Reactions
245 Replies
8K Views
EPACopyright: EPA Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu pia ametoa taarifa baada ya kukutana na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken mjini Tel Aviv hii leo. Alitaja shambulio...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Taarifa ya kusitishwa kwa malipo iliripotiwa kwa mara ya kwanza na FT, huku wafanyakazi wakipata nyongeza ya mishahara ikiwa tu watapandishwa vyeo rasmi, kabla ya mapumziko ya Krimasi Inasemekana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards! Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina! 1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto...
41 Reactions
264 Replies
8K Views
Mungu kwenye Biblia alimwagiza Joshua ateketeze adui wote yeye akakaidi Joshua 11:22 akabakiza watu wa Gaza,Gathi na Ashidodi 1 Samueli sura ya 17 ndiko alikotokea Goliathi kamanda wa vita...
16 Reactions
46 Replies
5K Views
Wenzetu kwenye BBC Radio 4 wamekuwa wakizungumza na Mustafa Barghouti, mwanasiasa wa Palestina na kiongozi wa Mpango wa Kitaifa wa Palestina, ambaye amekuwa akizungumzia hali ya Jenin. Anasema...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa kiwango kikubwa Israel yote inalishwa na shughuli za kilimo na ufugaji zinazofanyika kusini ya nchi hiyo na mpakani na Gaza ambazo asili ya ardhi hizo zenye rutuba zilitwaliwa na wayahudi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Vita vya Gaza vilivyoanzia na mashambulizi ya Hamas ya oktoba 7 yakiwa ndio makubwa kwa miaka 75 katika kutetea ardhi za wapalestina kumeibua mambo mengi yaliyokuwa hayakujulikana na wengi mwanzo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Wanajeshi wa Israel wanachapisha video inayowaonyesha wakimtesa kiziwi kutoka Gaza. Hili linakubalika kabisa kwa utawala wa mauaji ya halaiki huko Tel Aviv na kusherehekewa na...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Wanaukumbi. WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE. Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mnamo Novemba 20 mwaka huu 2023 mawaziri wa nchi tano za kiarabu na kiislamu walifunga safari kwenda China ili kutoa malalamiko yao na kutafutwa kuungwa mkono na nchi hiyo kuhusiana na suala la...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Jalisco New Generation Cartel au CJNG, ambayo zamani ilijulikana kama Los Mata Zetas, ni muungano wa uhalifu uliopangwa wa Mexico wenye makao yake makuu mjini Jalisco ambao unaongozwa na Nemesio...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Bunge la Algeria limepasisha sheria ambayo inamruhusu Rais wa nchi kama ikilazimu kuingia vitani na utawala ghasibu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea wananchi wasio na hatia wa Palestina. Bunge la...
9 Reactions
108 Replies
5K Views
Back
Top Bottom