Mamia ya raia wa Israel wameendelea kuandamana karibu na makazi ya raisi wa nchi hiyo wakitaka vitu viwili.Kwanza ndugu zao waliotekwa warudishwe na Benjamin Netanyahu aondoke madarakani kwa...
Ikumbukwe Mkuu wa majeshi , Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Taasisi ya Shin Bet inayohusika na Ujasusi wameomba radhi hadharani na kukiri kuwajibika kwa uzembe uliosababisha nchi yao kushambuliwa na...
Mafanikio makubwa yamepatikana siku ya Ijumaa ya juzi ikiwa umebaki muda mfupi wapalestina wa Gaza waanze kufa kwa njaa na kiu. Siku hiyo ilitanguliwa na kikao cha pamoja kati ya viongozi wa nchi...
Hii misikiti yaani ni balaa sana, sijui kwanini watu wasiabudu miungu yao kwa amani bila kulea chokochoko...........
The Israeli military said it launched a "preemptive strike" on an underground...
Wengi mtamkumbuka Cheney kama makamu wa Raisi wa George Bush.
Cheney alipitia criticism sana kwa kuwa ali engineer kufanya vita dhidi ya Iraq na mataifa yoyote yaliyo husishwa na janga la gaidi...
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.
Ilipoingia 1978, November/December hadi...
Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa...
Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja.
Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo...
Serikali ya Zimbabwe inaendelea na jitihada za kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu licha ya kuwa maambukizi yemesamba katika Majimbo 10 huku kukiwa na ongezeko kubwa zaidi katika...
Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI...
Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga...
Julius Nyerere was among the first African leaders to recognise the Palestine Liberation Organisation (PLO) under Yasser Arafat. In the same interview for El Massawar, he stated: “Our generation...
Kabla ya mwaka 1948 sio ardhi yote ya eneo hilo ilikuwa ya Waarabu Wapalestina. Sehemu ya ardhi ilikuwa inamilikiwa na Wayahudi wachache, Sehemu kubwa ilikuwa ni ardhi ya umma iliyokuwa...
IDF wameahirisha kwa muda zoezi walilotaka kuanza wikiendi hii la kuingiza vikosi vyake katika mji wa Gaza kwa kile walichodai ni tatizo la hali ya hewa kitokuwa rafiki hasa kwa vikosi vya Anga...
Kumefanyika mkutano wa amani leo hii ambapo Israel imeukacha. Mkutano huu chini ya UN umeshirikisha viongozi mbalimbali ktk nchi zilizopo katika eneo la mashariki ya kati, maofisa kutoka serikali...
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.
Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu...
Imezoeleka kusikia kuwa Israel ni taifa kali lisiloshindwa kwenye vita. Hata hivyo historia inaonesha mwaka 1973 nchi za Syria na Misri pekee zilipigana kijeshi kwa siku chache kabla kusitishwa...
Friends and Enemies,
Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko...
Kwanza nianze na salamu kwa wana JF wote nikiamini ni wazima na mnaendelea vizuri.
Pili niende moja kwa moja kwenye muktadha wa uzi huu kuwa hauna nia ya kudharau, kupotosha au kuchochea suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.