Wasomi mbali mbali kwenye vyuo vikuu kote ulimwenguni wameonekana kutorudishwa nyuma na propaganda za Israel katika kuwaunga mkono wanamgambo wa Hamas na jumuiya ya wapalestina kwa jumla.Hali hiyo...
Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000.
Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani...
Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati.
Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa.
Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono...
Wanajeshi wa Israel wamewarushia mabomu ya Machozi Waumini walipoenda kuabudu kwenye Msikiti mkuu wa Dunia Al Aqsa
Ulinzi umeimarishwa kuuzunguka Msikiti
Viongozi mbalimbali wa Dunia...
Wapalestina wajifie huko wasithubutu kuingia Misri kwa Waarabu wenzao, ila wageni wasio Wapalestina wapite tu shwari.
https://www.youtube.com/watch?v=qGBuzavPCf4
Mzuka wanajamvi!
Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi...
Kiongozi wa kundi la Wanamgambo wa HAMAS aliyeongoza uvamizi ndani ya Israel siku ya Jumamosi ya Oktoba 7, Ali Qadhi ameuawa baada ya handaki alilokuwa amejificha kugunduliwa na inteligensia ya...
Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani!
Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya...
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 10 imepita tangu Dieudonne Ishimwe, mwanamuziki wa zamani maarufu kama Prince Kid, afutiwe mashtaka ya ubakaji na kuwaomba Rushwa ya Ngono Washiriki wa Shindano...
Babkubwa la magaidi ya dini limekana halikuhusika kwenye ugaidi wa juzi wa HAMAS ambao umepelekea Israel kujibu kwa nguvu nyingi hadi dunia imechanganyikiwa, wengi tunasema sasa basi, tosha, hadi...
Hello,
I see Palestine with Israel
Russia with Ukraine
Taiwan with China
African revolution
What can possibly trigger a full war into the whole world, what can make nation pick sides.
...
Bi. Ursula von der Leyen rais wa Kamisheni ya Ulaya European Commission
https://m.youtube.com/watch?v=Y8VWXACReew
Atembelea maeneo ya Kfar Azza kusini mwa Israeli katika moja ya Kibbutz...
Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao.
Mohammad...
Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri...
Jamii ya wakurd inapatikana mashariki ya kati. Walikuwa wanajulikana kama Medes kwenye Biblia. Idadi ya wakurd duniani ni zaidi ya million arobaini.
Wakurd wengi walikuwa wakristo kabla ya...
Kuna maandamano kwenye nchi mbalimbali duniani kuiunga mkono Palestine.
Uingereza maandamano ni makubwa sana muda huu.
Akufaaye kwa Dhiki ndiye Rafiki.
Source: BBC news
Kwanini vikosi vya Palestina vilifaulu kuingia kinyemela katika maeneo ya Israel na kufanikiwa kufanya mashambulizi makubwa kabisa ndani ya Israel ikiwa ni pamoja na kuteka mamia ya wanajeshi wa...
Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.