International Forum

News and Stories from rest of the World
Katoka hali ya kushangaza Rais wa Israel bwana Isaac amenukuliwa akisema kila mtu anaeishi Gasa ni mhalifu bila kujali ni rais ama wanamgambo wa Hamas hadi pale itakapokuja kuthibitishwa tofauti...
0 Reactions
2 Replies
689 Views
SERIKALI imesema kuna haja ya kufuatilia mwenendo wa mashtaka ili kubaini uhalali wa adhabu iliyotolewa na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) ya kumfungia bondia Hassan Mwakinyo. Hayo...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Moja ya Wafalme waliochukua Maeneo Mengi sana Kule Bara la ASIA. King Genghis Khan the Great kutoka Mongolia dynasty na muanzilishi wa dynasty hiyo ambaye alikusanya Jamii ndogondogo zikawa chini...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Leaders of Malawi's biggest Christian church movement, the Malawi Council of Churches (MCC), have voiced their official stand on current "contemporary issues" affecting Malawi. In a statement...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni Gereza linalochukua Wafungwa Elfu Tatu tu ila lina Wafungwa zaidi ya Elfu Ishirini Ni Gereza la Kijeshi ila linalochukua Raia wa Makosa mbalimbali Ni Gereza ambalo Wafungwa wakiingia Siku ya...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati? Je, ni...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa ni watu wa dini yenu halafu majibu ya Israel yanakuja kwa nguvu hadi kutia ukakasi, kuna picha nimeziona ambazo siwezi kuzileta humu ila hii dunia...
27 Reactions
191 Replies
8K Views
Siku ya leo vuguvugu la kutaka kubadilishwa kwa sera ya EU juu ya Ukraine limepamba moto. Wabunge wa European Parliament wamezungumza hayo leo na kuishutumu vikali serikali ya Ukraine kwa Rushwa...
3 Reactions
2 Replies
813 Views
Tunasikia Egypt walitoa habari juu ya shambulio hili ila huenda Israel wakaona wakidhibiti mapema mambo yatakuwa yale yale ya kuruhusiwa kumchapa Hamas na Chelewa wakitaka kurusha ngumi wanazuiwa...
3 Reactions
13 Replies
912 Views
Wakati uchaguzi wa Marekani unakaribia kumekuwepo na habari nyingi kuhusiana na mazungumzo ya kurudisha uhusiano baina ya Saudi Arabia na taifa la Israel. Uhusiano huo umeshindikana kwa miaka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua. Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa...
3 Reactions
16 Replies
900 Views
Tukisema Ulaya na Nchi za magharibi ujasusi wao ni wakiwango cha kutisha muwe mnaamini. Ktk hili sitaki kuamini hata Tanzania huenda tumeshapigwa japo yaweza kuwa top secret. Siku chache baada...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Israel Imetoa Onyo Kali Kwa Iran na Syria Kwa kushambulia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Damascus Mda Mfupi Kabla ya Ndege Iliyombeba Waziri wa Mambo ya kigeni wa Iran Kutua. Habari zinasema...
8 Reactions
54 Replies
9K Views
HOFU KUU: Leo Hii Rais wa Ukraine Mheshimiwa Vlad. ZELENSKY amekwenda makao makuu ya NATO ikiwa ni mara ya kwanza tangu waingie vitani na Urussi. Zele ameona hali ni mbaya kwani last week alionya...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Huu ni ukweli tunaotaka kuupinga sana kuwa anachofanya muisrael ni kujaribu kificha aibu na fedheha ya uzembe walioufanya ama hofu imemjaa so anafanya offensive kubwa kujaribu kuneutralize...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Isarel na US siyo wajinga kuita wanajeshi wa IDF huko ulaya na kuanza Supply ya Silaha kwenda Tel Aviv. Wanajua hii inaweza kuwa Proxy war iliyojificha sana na escalation ikawa ndefu sana. Wiki 2...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Licha ya chokochoko zote hizi za hawa magaidi, wengi wanaishi kwa misaada ya aidha Israel au kutokea Uzunguni, ila Waarabu wenzao huwapa tu masilaha ya kufyatua kwenda Israel. ============= The...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika vita inayoendela, West, EU na na nchi zote wanachama wa NATO wamesimama na mshirika wao Israel, hawamung'unyi maneno. BRICS wanasimama na upande upi? Kwa nini BRICS haionyeshi uongozi...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom