International Forum

News and Stories from rest of the World
Mji wa Derna mashariki ya Libya ni mji wenye historia kubwa katika nchi hiyo.Ndiko walikozikwa maswahaba wengi wa Mtume s.a.w nchini humo jumla yao wakifikia 70.Na hata jeshi la Amru ibn Aas...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo. Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Jeshi la Marekani limeomba usaidizi wa umma kupata mojawapo ya ndege zake za kivita za F-35 zenye thamani ya $80m (£65m) baada ya ndege hio kupotea kimazingara. Ilipotea Jumapili alasiri wakati...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukraine wameishiwa na watu wa kuwasajili jeshini na wakati hauko rafiki nao. Kwa maoni ya wachambuzi wa kijeshi wa The Telegraph, haya mapigo ya droni yanayotangazwa na Ukraine hayawezi kabisa...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Gumzo kubwa linaloendelea ulimwenguni baada ya mafuriko ya maji Libya baada ya mabwawa mawili kupasuka, kwa sababu ya uchakavu na kutofanyiwa maintenance na uborejashi. Je, hili linaweza kutokea...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Baada ya kukamilika kwa safari nne za mzunguko wa ardhi, Aditya-L1 itapitia safari wa kuingiza Trans-Lagrangian1. Chombo cha anga za juu cha Aditya L1, ujumbe wa kwanza wa anga za juu wa India...
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Ni tahadhari ilitolewa na Mamlaka ya Huduma za Maji ya Jiji la Johannesburg Nchini Afrika Kusini ikiwataka Wananchi kutumia Maji kidogo vinginevyo watasababisha Mfumo wa Usambazaji Kuishiwa Maji...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU. Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu...
21 Reactions
332 Replies
12K Views
Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii...
2 Reactions
0 Replies
388 Views
Haya kumekucha Gabon, Brice ambae ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais ndo kawa Rais. Kwa uchunguzi wangu ,huyu Nguema ni binamu wa Ali Bongo. Na Ali Bongo alimpa kazi maalum ya kumuandaa mtoto wa...
12 Reactions
52 Replies
7K Views
Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
10 Reactions
108 Replies
9K Views
Natumai hamjambo wana JF wenzagu, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiuchukulia mzozo/vita ya Ukrein kwa mitazamo tofauti tofauti na hata baadhi yao kumtupia...
22 Reactions
75 Replies
3K Views
Conspiracy becomes truth:IBM to replace 8,000 workers with AI automation; no more new hires for roles that can be filled by AI Thursday, May 04, 2023 Last month, Goldman Sachs predicted that...
2 Reactions
3 Replies
754 Views
Aina mpya ya drone boat, yaani aina ya mashua inayosafiri yenyewe bila nahodha na yenye uwezo mkubwa, imepita pale Strait of Hormuz huku Irain wakishangaa shangaa... ======================= The...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Ushirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka. Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama hakuna adui kutokea ndani hakuna kitakacho kutokea. Check your inner circle. Malizia na Bongo ? Yes, malizia na Bongo!! 1.Amebakia Nani ? 2.Vipi nchini kwako hayajatokea haya ?
2 Reactions
10 Replies
524 Views
Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa. Maisha yamekuwa ghali kinoma Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi. Lakini kila kukicha Kama...
9 Reactions
83 Replies
5K Views
Muda itabidi waachiwe pakutokea.... =========== Ukraine forces have retaken land near Bakhmut from Russia, Kyiv says Ukrainian forces have recaptured the heights over Bakhmut and are...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Itabidi Warusi waachiwe pakutokea la sivyo wataishia kuuana vibaya mno, Warusi walijaribu sana kuzuia wasizingirwe Bakhmut lakini imeshindikana, Ukraine wamepasua ngome zote na wapo kwenye hatua...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom