Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley amesema kwamba msemo wa Trump "fire and fury" kwamba North Korea itakumbana na moto na gadhabu kubwa kuwahi kushuhudiwa tangu dunia iumbwe...
South Korea donates 50,000 tons of rice to North Korea
South Korea has said it will make its largest food donation to the North since 2008, as an estimated 40% of North Koreans are...
Maisha ndani ya jeshi la korea kaskazini bado ni ya kutatanisha, na vikosi vya jeshi la korea kaskazini vimeendelea kupata shida mbali mbali ikiwemo njaa, parasite (wadudu washambuliao mwili wa...
Madogo wanaendelea kubonyeza bonyeza tu, vita vya kisasa tamu sana....
A Ukrainian drone has caused significant damage to a Russian oil storage facility, triggering a fire in one of the gasoline...
Hadi aibu jameni, supapawa ameshindwa kulinda meli zake za kivita, zinapigwa kizembe sana na drones......
After successful Ukrainian attacks on a large landing ship and a submarine in occupied...
Shutuma zimeanza kuelekezwa kwa general Haftar na ukoo wake kuhusianan na mafuriko yasiyo kawaida yaliyosababisha watu 11,300 kufa na wengine zaidi ya 10000 wakiendelea kutafutwa chini ya vifusi...
Wakuu Hali za Waarabu ni Tete.
Takribani watu 2,300 wamefariki Dunia Kufuatia Mafuriko yaliyoletwa na kimbunge Daniel kilichoambatana na mvua kubwa ambazo zimevunja mabwawa na majengo ya gorofa...
Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi...
Mwanaume mmoja raia wa Korea Kaskazini ambae utambulisho wake haujawekwa wazi amehukumiwa kifo kwa kutazama na kusambaza nakala za series maarufu kutoka Netflix 'Squid Game'.
Inasemekana hukumu...
Vatikani imeidhinisha ombi la maaskofu wa Ufilipino la kuwaruhusu kuwatawaza Wakatoliki waliohitimu, wakiwemo wanaume waliooa kuwa mashemasi wa kudumu ili kusaidia kuangalia uwiano wa mapadre na...
Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling
Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on...
Wadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel
Sep 12, 2023 06:28 UTC
Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye...
Rais wa urusi Vladimir Putin amefanya mazungumzo na rais wa mali goita na kumuhakikishia ulinzi na usalama wa kikanda.
Upande wa saher pia rais putin wamekubaliana kuwekwa kwa Military base...
Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo...
#HABARI Uamuzi wa Wizara ya Elimu nchini Misri kutangaza marufuku ya kuvaa vazi la uso (Niqab) katika shule za serikali na binafsi umezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii na kushutumiwa vikali...
Wanapiga popote, hizi drones zimekua shida....
A Ukrainian uncrewed surface vessel (USV) hit a Samum-class missile carrier hovercraft on Thursday, 14 September.
Source: Ukrainska Pravda’s...
Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games...
Usafiri wa ndege ni usafiri wa raha na wa haraka zaidi. Pamoja na hivyo ni moja ya usafiri wenye vituko vingi zaidi.
Wiki mbili zilizopita ndege moja huko Marekani ilibidi irudi ilikotoka baada...
Rais wa chama cha Ensemble Pour la Rrepublic Moise Katumbi ameitwa na mahakama ya taifa Kinshasa
baada ya kutoa kauli kwenye kampeni zake kuwa siku akitangazwa kuwa Rais kuna baadhi ya nchi ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.