Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni...
Mzuka Wanajamvi!
Jitu kakamavu, limepanda hewani ana sura ngumu. Isitoshe ni jitu la mazoezi linahudhuria Gym kila siku na kabla ya kunyanyua vyuma linapiga push ep 100 iyo ni kupasha.
Kwenye...
Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama...
Imeelezwa kuwa Wizi wa kura ambapo Tume ya Uchaguzi Nchini humo ilimtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi ktk kinyanganyiro uchaguzi Wiki iliyopita.
Uchaguzi Nchini Gaboni uligubwikwa na fujo ma...
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma barua rasmi kwenye bunge la Senate la Nchi hiyo ili kupewa ruhusa kwa jeshi la Nigeria kuingia nchini Niger na kuwaondoa wanajeshi waliokalia madaraka baada ya...
Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo.
Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na...
Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na...
Hotuba nzuri sana......
I like it.
"HOTUBA YA ALBERT ONDO ASSA ILIBADILI FIKRA ZA MAJESHI YA ALLY BONGO?!
------------------------------------------
Siku ya kufunga kampeni za uchaguzi mkuu wa...
Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kusimamisha uanachama wa Gabon ikiwa ni kujibu mapinduzi yaliyofanywa na kundi la maafisa wa ngazi za juu wa kijeshi wa Gabon siku moja kabla.
Umoja wa Afrika...
Mrusi kalianzisha, mwenzake anamaliza...
==========
Ukraine is investing in a project to develop its own long-range missile.
Oleksii Reznikov, Minister of Defense of Ukraine, stated about it...
Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi...
Waziri Mkuu wa Hungary amesema kwamba, Ukraine haina nafasi yoyote ya kushinda; Warusi wana nguvu zaidi.
Kwa mujibu wa televisheni ya ABC News, Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban amesema katika...
Serikali ya Gabon imetangaza kuwa, wanajeshi waliohusika na jaribio la kuipindua serikali ya nchi hiyo wametiwa nguvuni.
Taarifa iliyotolewa na serikali ya Gabon imesema kuwa, hali ya mambo nchini...
Mapinduzi ya Gabon yana mfanano na mapinduzi mengine yaliyofanyika nchi za Afrika Magharibi. Hata hivyo kuna vitu muhimu vinavyoyatafautisha mapinduzi hayo na wenzao.
Brice Oligui Nguema ni...
Ni jambo a kuchekesha na kusikitisha.
General Jeff Mungai Nyagah wa KDF(Kenya Defence Forces) ameukimbia uwanja wa vita huko Goma, DRC.
Sababu zilizotolewa ni kudharauliwa na maisha yake kuwa...
Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli.
Chama cha...
Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya...
Uanachama wa BRICS umevunja sera ya US ya kuitenga Iran
Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kupewa uanachama Iran katika kundi...
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.