International Forum

News and Stories from rest of the World
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amewasili Kyiv Jumatano kwa ajili ya mikutano na maafisa wakuu wa Ukraine, akiwemo Rais Volodymyr Zelensky na Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro...
3 Reactions
12 Replies
785 Views
Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene... A human trafficking ring that coerced Cubans to fight...
4 Reactions
5 Replies
851 Views
Baada ya kushindwa kuiteka Kyiv, na pia kuchezea kichapo cha counteroffensive, aona hamna namna ila kujaribu kuwagawanya Ukraine wamchukie Rais wao kisa ana damu ya Kiyahudi. Kumbe ndio maana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kusimama kidete na mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na...
11 Reactions
100 Replies
7K Views
Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi baada ya kusikiliza maombi ya Wagombea wa upinzani wa People’s Democratic Party, Labour Party na Allied People’s Movement wanaotaka kubatilisha tangazo la Rais...
1 Reactions
4 Replies
706 Views
Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo. Mapendekezo hayo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Vikwazo vya Silaha vyote dhidi ya Iran vinaisha mwezi ujao tujiandae kuiona Iran ikizidi kupaa kijeshi Waziri wa Ulinzi: Muda wa vikwazo vyote vya silaha dhidi ya Iran utamalizika mwezi ujao wa...
6 Reactions
6 Replies
843 Views
Maafisa wa kijeshi wa Iran, Saudia wajadiliana kuhusu ushirikiano Aug 17, 2023 11:08 UTC Maafisa wa kijeshi wa Iran na Saudi Arabia wamekutana kwa mara ya kwanza tangu mapatano yaliyofikiwa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkutano wa kwanza wa kilele wa Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Nairobi nchini Kenya. Katika miaka mingi iliyopita, China imechukua hatua madhubuti ili kuzisaidia nchi...
1 Reactions
1 Replies
501 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Li Qiang ataongoza ujumbe wa taifa hilo katika mkutano ujao wa kundi la G20 nchini India, hatua inayoashiria kuwa Rais Xi Jinping...
2 Reactions
3 Replies
618 Views
Akiwa katika ziara katika eneo la Kanyama, katika Mji Mkuu wa Lusaka, Rais Hakainde Hichilema, amewataka wanaopanga mapinduzi wa Kijeshi wasiitishie mipango yao mara moja Onyo hilo linakuja baada...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Dunia nzima kwa sasa inafuatilia kwa karibu ziara tarajiwa ya Kim Jong Un Rais wa Korea Kaskazini huko Moscow Inasemekana Kim atamsaidia Putin Silaha za hatari Marekani na Ulaya wameshikwa na...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa.... PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Kundi kubwa la watu wako hatarini kufa huko jimbo la Nevada nchini Marekani baada ya kuzingirwa na matope mazito kwenye eneo walilokwenda kushiriki sherehe za kila mwaka za kumchoma mtu "Burning...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Unawaliza watu kwenye nchi yao, nawe kubali kulizwa kwenye nchi yako..... https://twitter.com/i/status/1698965937502785800 SCREENSHOT: VIDEO A fire has occurred at the Sibur petrochemical...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Back
Top Bottom