International Forum

News and Stories from rest of the World
Kuna watu wanaweza wakashangaa sana kuona USA kuna watu wanaishi maisha magumu sana. Kwamba huko USA kuna watu hata mlo wa siku kwao ni shida. Kuna watu wanashinda njaa na wanakufa kwa kukosa...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Patrick Ryder hivi majuzi alisema imethibitishwa kuwa puto lililogunduliwa miezi minne iliyopita "halikukusanya taarifa za kijasusi wakati wa safari yake...
1 Reactions
6 Replies
560 Views
Katika siku za hivi karibuni Ofisi ya uwajibikaji ya serikali ya Marekani (GAO), ilitoa ripoti iliyohusu hali ya kandarasi za benki ya dunia kati ya China na Marekani, ikionesha kuwa China...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Polisi inawashikilia Wanachama 40 wa Muungano wa Upinzani waliokuwa katika kampeni, Mjini Harare, baada ya kudai kuwa Mkazi mmoja aliripoti usumbufu kutoka kwa Wanachama hao waliokuwa wamefunga...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Katika hali ya kutosoma vizuri nyakati na matukio na kwa upande mwengine kutaka kutumiza ajenda za nchi za magharibi, viongozi wa ECOWAS wanaoongozwa na Nigeria wamerudia nia yao ya kutaka...
10 Reactions
64 Replies
6K Views
Sarafu ya Urus ya Ruble imeporomoka kwa asilimia 90% dhidi ya Dola ya Marekani huku nakisi ya bajeti ya nchi hiyo ikifikia zaidi ya asilimia 30 ndani ya kipindi cha miezi 3. Hii inatokana na...
13 Reactions
140 Replies
7K Views
Wenzetu teknolojia zao ziko mbali sana, yaani drone inapaa na kumulika hadi chini ya ardhi na kugundua mabomu, Warusi waliposhindwa mapambano walifukia mabomu na kutoroka. A demonstration of the...
2 Reactions
2 Replies
626 Views
Tarehe 7 Agosti 2023, Burkina Faso ilichukua hatua ya kihistoria na ya kishujaa kwa kujitangaza rasmi kuvunja mkataba wa kodi wa miongo kadhaa uliokuwa ukilifunga taifa hilo na Ufaransa, hatua...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
“Let me issue and control a nation’s money and I care not who writes the laws.” - Mayer Amschel Rothschild Central Bank Digital Currency (CBDC) will end human freedom. Don’t fall for the...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa tafiti, taifa la Venezuela ndilo lina hifadhi kubwa ya mafuta duniani ikifuatiwa na mataifa ya middle east kama Saudi Arabia, Iran,n.k Wakati haya mataifa kama Saudi Arabia yakiwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuzilia mbali takwa la rais wa Urusi, Vladimir Putin la kuyataka mataifa ya Ulaya kununua gesi kwa sarafu ya Kirusi, huku akimshutumu rais huyo kuwa mwenye nia...
15 Reactions
293 Replies
18K Views
Drones zinazidi kuwa kero kwa Warusi, na sasa viwanda vya Ukraine vimechachamaa kuzalisha kwa maelfu... An explosion has occurred in the Russian city of Belgorod, damaging the facade of a...
2 Reactions
6 Replies
783 Views
Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi. Mafuriko hayo...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
========== Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Baadhi ya maneno yaliyopo katika wimbo wa taifa wa Ukraine. " we will lay down soul and body for our freedom " "We will never let anyone be master in our land" "We will stand in a fierce bloody...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mwendo kasi, zege hailali...ni kulipua mpaka wakomboe maeneo ya taifa lao.. Russian troops have been forced to retreat as Ukraine has retaken a key village in Donetsk, according to reports...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika kuanzia Agosti 22 hadi 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Hii sio tu itakuwa shughuli kubwa kwa nchi za BRICS, bali pia itatoa fursa zaidi za...
2 Reactions
1 Replies
579 Views
Marekani na nchi zingine za NATO zilipeleka silaha nyingi sana ukraine kama maandalizi ya kujibu mashambulizi na kurudisha tena majimbo yaliyotekwa na urusi. Lakini silaha hizo nyingi ziliishia...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
🇮🇳 India - 66 🇮🇱 Israel - 54 🇬🇧 United Kingdon - 27 🇨🇦 Canada - 22 🇨🇳 China - 21 🇫🇷 France - 18 🇩🇪 Germany - 15 🇷🇺 Russia - 11 🇺🇦 Ukraine - 10 🇮🇷 Iran - 8 🇦🇺 Australia - 7 🇮🇹 Italy - 6 🇳🇬 Nigeria...
4 Reactions
2 Replies
771 Views
--- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed...
8 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom