International Forum

News and Stories from rest of the World
Saudi Arabia imemteua balozi wake wa Jordan kuiwakilisha nchi hiyo nchini Palestina na awe na ofisi zake mjini Jerusalem ambayo ndio yatakuwa makao makuu ya serikali mpya ya Jamhuri ya Palestina...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Je Afrika Magharibi inaweza kutumia mbinu gani kubadilisha mapinduzi ya Niger? Wanajeshi nchini Niger wanasema watapinga "uchokozi" wowote wa Ecowas na mataifa yenye nguvu ya Magharibi Kundi la...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Taarifa imethibitishwa na Wanazuoni wa Kiislamu waliokutana na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Jenerali Abdourahamane Tchiani kwaajili ta kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea. Mazungumzo hayo...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni nyingi sana mpaka imekua mtihani kuzitunza, zinatumika kupelekea moto Warusi.... Ukraine has recovered a vast array of Russian military equipment and is putting it to use. That includes 800...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
mfano 1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta. 2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao...
3 Reactions
5 Replies
817 Views
Kwa vile ni dhahiri Urusi imeshindwa Ukraine na kuhamisha nguvu nyingi kwenye heka heka za Afrika, sikujua na wao hukimbia kikinuka kwenye bara hili............ Russia says it has evacuated staff...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Nigeria amesema kuna njama kutoka pande mbalimbali za kuchochea wanajeshi wa Nigeria kumpindua serikali ya sasa inayoongozwa na Bola Tinubu. Afrika Magharibi...
19 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii imefanywa na wazalendo, ikumbukwe pembeni na jeshi la Ukraine, kuna wananchi wapiganaji waliounda makundi ya kuhujumu na kuharibu miundo mbinu ya wanajeshi wa Urusi...... Petro...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Hili zimwi alilokuwa analilea Putin na ambalo lilimsababisha aikimbie Ikulu kwa siku chache, linazidi kuwa kero, maana ni kundi la wapiganaji ambao kwa sasa wameingiwa na matatizo ya hela na kwa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Putin reveals imminent delivery of new hypersonic missiles The frigate Admiral Gorshkov will be the first vessel to be equipped with the weapon The Russian frigate Admiral Gorshkov fires a Zircon...
9 Reactions
23 Replies
4K Views
Haya sasa kumekucha Russia katoa onyo kwa ECOWAS hii ni baada ya US & France kusema wanaunga mkono ECOWAS juu ya uvamizi wa kijeshi kwa Niger. Russia kwasasa amesimama na Niger, tukisema Russia...
17 Reactions
107 Replies
7K Views
Je ni kweli ushawishi wa Urusi kwenye mapinduzi yanayoendelea barani Afrika inaeza chochea yale mataifa ya ulaya ambayo yalikuwa wanufaika wa maliasili za Afrika ,kuanza kuona umuhimu wa kumkabili...
2 Reactions
5 Replies
964 Views
Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Urusi imekuwa ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi ulimwenguni na kubwa zaidi barani Ulaya katika suala la usawa wa nguvu ya ununuzi. Purchasing Power Parity (PPP). Uchambuzi huu ulichapishwa na...
13 Reactions
56 Replies
5K Views
New Delhi India India inatafuta maelewano kati ya mataifa ya G20 dhidi ya wahalifu wa kiuchumi waliotoroka ili kuhakikisha urejeshwaji wao wa haraka wa mali, ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa...
1 Reactions
0 Replies
377 Views
Salama humu🙂 Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp. Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Shirika la Chakula duniani limetoa taarifa yake ya kila Nusu mwaka kuhusu hali ya uzalishaji wa Chakula Duniani hasa mataifa yenye migogoro ya Kivita. Taarifa hiyo inaonesha kuongezeka kwa mavuno...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ifahamike sasa Ukraine wana viwanda vyao vya drones, Mrusi ajiandae kupambana na maelfu ya drones kote kote, wanapiga Moscow na Crimea, maeneo ambayo Putin alisema yakiguswa atafanya kitu. 17...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Turkish 5th Gen Fighter TF-X prototype on the final assembly line. 20+ meters in length and powered by 2 GE F110 engines. This puts the TF-X in the same league as F-22 Raptor, J-20 Mighty Dragon...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Back
Top Bottom