International Forum

News and Stories from rest of the World
Boti hiyo ilikuwa ikiwasafirisha watu katika jimbo la Kwara kutoka kwenye harusi katika jimbo jirani la Niger wakati ilipoanguka, polisi wa jimbo hilo na ofisi ya gavana walisema, bila kutoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mambo mpwito mpwito kwa kwenda mbele.... Ukraine claims to have retaken another southeastern village from Russian forces as its counteroffensive gains momentum. Soldiers held up the Ukrainian...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali ya Ecuador imeanza kuichunguza hospitali aliyokuwa akitibiwa bibi mmoja ambaye alitangazwa amekufa lakini aliamka ndani ya jeneza Ijumaa iliyopita. Bella Montonya (76) ambaye madaktari...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto. ====== Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86...
15 Reactions
56 Replies
6K Views
Iran ni taifa teule wallah wamesaini dili la trilioni 50 na Venezuela sisi tupo bize tunauza bandari zote za bara kwa waarab Shame on you Chief Hangaya Mangungo....Msisahau miaka ya juzi kati Iran...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
https://www.cnn.com/politics/live-news/donald-trump-indictment-court-appearance-06-13-23/index.html
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Operesheni ya kufagia fagia takataka.... Ukrainian troop have retaken seven villages spanning 35 square miles from Russian forces in the past week, the deputy defense minister said Monday as the...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukraine wanapiga ndani ndani karibu na ikulu ila pia wanakomboa maeneo nyumbani................. 'Ukraine drone' strike hits oil refinery just 80 miles from Putin's palace: Major explosion on...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Bado imeshindikana kuwapatanisha, ni fulu mnyukano kwa kwenda mbele tena wana mizuka ya kiwaki waki..... A massive fire erupted at the gas depots in southern Khartoum on Wednesday, following...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa. Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati mataifa mengine yanafikiria kuachana na dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa kuna mataifa mengine yanafikiria kutumia sarafu hiyo adhimu kama sarafu ya nchi. ----- While some...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jeshi la Russia laangamiza vifaru vya Ukraine aina ya Leopard 2 kutoka Ujerumani Jeshi la Russia limefanikiwa kuangamiza vifaru tisa vya Ukraine, vikiwemo vine vya kisasa kabisa aina ya Leopard 2...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Bola Ahmed Tinubu amesaini Sheria mpya ya mikopo ya kwa Wanafunzi, ambapo Wanafunzi katika Taasisi za Elimu ya juu kama vile Vyuo Vikuu na Vyuo vya ufundi wataweza kupata Mikopo isiyo na riba...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Romania imemrejesha nyumbani Balozi wake Nchini Kenya, Dragos Tigau kutokana na kauli ya kuwafananisha Wanadiplomasia wa Afrika na nyani. Kauli hiyo aliitoa wakati akiwa katika kikao na Mabalozi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mchungaji nchini nigeria anawapika wanaume kisha mchuzi wake wanakunywa wadada wanao kosa mimba ili wapate mimba😂😀🙌
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Marekani inajiamini kuwa inaweza kuitishia nchi yoyote kama itaona kuwa inataka kufanya jambo ambalo litaathiri maslahi ya Marekani, hata kama jambo hilo ni kwa manufaa ya nchi hiyo. Hapa duniani...
6 Reactions
86 Replies
5K Views
Waokoaji Nchini Misri wanawatafuta Watalii watatu wa Uingereza ambao hawajulikani walipo baada ya moto kuzuka kwenye Boti waliyokuwa wakisafiria baharini nchini Misri jana Jumapili. Vyombo vya...
0 Reactions
5 Replies
630 Views
Wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hawa watoto wa wameweza kunusurika na mazingira hatarishi ya msitu mkubwa wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi yoyote hadi walipopatikana leo...
10 Reactions
64 Replies
9K Views
Back
Top Bottom