Waziri Mkuu wa zamani wa Italy na Tajiri namba mbili nchini humo ndugu Silvio Berlusconi amefariki dunia leo hii 12/06/2023
Berlusconi ambaye alikuwa ni mmiliki wa vyombo vya habari na timu ya AC...
Taarifa kutoka kwenye vyombo vya Habari vya kimataifa zinaeleza kwamba Waziri Mkuu wa Zamani wa Italia na Mmiliki wa Timu ya soka ya AC MILAN Silvio Berluscon amefariki Dunia Jijini Milan
Chanzo...
Tunafika Crimea, mzuka mzuka wanangu.
Ukrainian social media channels were alight with celebratory messages as the nation revelled in the first major successes of the much-anticipated counter...
Nina mashaka sana na huyu rais wa Ukraine kuwa anaweza kuwa anatumika na Urusi hili kuidhoofisha ulaya kiuchumi na teknologia ya silaha zao. Mfano Himars zimeundwa 2012, uwezo wa Patriots, uwezo...
Aljazeera 11 Jun 2023
Ukraine has said its troops recaptured three villages from Russian forces in its southeast, the first liberated settlements it reported since launching a counteroffensive...
Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na...
Silvio Berlusconi aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia na moja ya marafiki wa karibu wa Vladmir Putin ameripotiwa kufariki dunia.
Kiongozi huyu bilionea alijulikana sana kwa kupenda starehe na...
Hayawi hayawi huwa, wazalendo wapasua ngome ya kwanza, Warusi washindwa kuhimili mapigo....twende kazi
=========
Ukraine has broken through Russia’s first line of defence in several places, 48...
Urusi imewatunuku nishani za juu zaidi za kijeshi (Hero of Russia Gold Star) wanajeshi wake waliochoma na kuharibu vifaru vinne vya vya Ujerumani (Leopard tank) na magarivita matano ya mMarekani...
US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi
Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini...
Usiku wa jana na juzi (June 10th na 9th), Urusi imezipelekea moto mkali Air base ya Ukraine (Mirgorod Air Base) kwenye mkoa wa Poltava Oblast, ambapo ndio ngome ya kikosi cha 40th Tactical...
Vijana wazalendo wanaendelea kurejesha ardhi ya mababu zao, vilianzia Crimea vitaishia Crimea...
3:57pm: Ukraine announces retaking village in southeast
Kyiv announced on Sunday that Ukrainian...
Ukraine wameki washa washa hadi Wagner wanaomba waongezwe hadi wafikie 200,000 maana jeshi la Urusi linapata kipigo sana.
The mercenary Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin has called on Moscow...
Hawa jamaa hadi wanatia aibu..
https://apnews.com/article/ukraine-russia-tank-leopard-blew-up-tractor-2824d17105d3cfb875a5306acd2c9089
A grainy black-and-white gunsight video Russia released...
FAHAMU: Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk.
Tofauti na watoto wengine, Inasemwa alipokuwa na...
Kuna watu huwa wanasema Iran ni maskini lakini cha ajabu sisi Tanzania tunaikopa Iran, wanatudai Trillion 1.48.
Week iliyopita WB waliitaja Iran kushika No.21 kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani...
Benki Kuu ya Russia imekiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya.
===
Russia's central bank sounded alarms on the economy Friday as the falling ruble and a record labor shortage add...
Seven African presidents to meet Putin and Zelensky
An African peace delegation will visit Kiev and Moscow, the Brazzaville Foundation has confirmed
FILE PHOTO: Russian President Vladimir Putin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.