International Forum

News and Stories from rest of the World
Hivi majuzi, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio la kuongeza muda wa vikwazo dhidi ya Sudan Kusini hadi Mei 31, 2024 kwa kura 10 za ndio na 5 hazikupigwa. Cha kusisitizwa ni...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa..... Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi...
10 Reactions
116 Replies
7K Views
Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajeshi watatu wa Israeli wameuwa kwa kupigwa risasi na Wamajeshi wa Misiri na kupelekea wasiwasi mkubwa sana wa hizo chi kukinukisha vibaya. Wote ni washirika wa Marekani sasa tungoje tuone
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Putin atakuwa chizi hivi karibuni. Kundi la mamluki la Wagner linasema kuwa linamshikilia mwanajeshi wa jeshi la Urusi, ambaye anadaiwa kulifyatulia risasi gari la Wagner nchini Ukraine. Katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajeshi wa Urusi wameanza kukamatwa mateka na waasi, supapawa hali tete. ======== Fighters opposed to the government in Moscow say they have have captured two Russian soldiers in Belgorod...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Slava Ukraine Kipindi cha vita kuu ya dunia Russia ilikuwa na wapiganaji hatari wa vita kipindi cha baridi kali na kwenye maeneo yenye barafu kali nzito Sijui Russia kimewapata nini mwaka jana...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya machafuko kutokana na hukumu ya Ousmane Sonko, Serikali imezuia upatikanaji wa intaneti kwenye simu ili kuzuia ueneaji wa taarifa zinazoweza kuleta machafuko zaidi. Sonko ambaye ni...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Umoja wa mataifa umemteua Ghaamid Abdulbasat kuwa mwanachama wa Kamati ya Ushauri (IAC) kwa niaba ya vijana Afrika na duniani kutekeleza itifaki ya Nagoya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wito tayari umetolewa huko Bondeni kuwa wageni hawatakiwi baada ya tarehe 01.06.2023. Waambieni ndugu zetu huko wachukue tahadhari kabla ya hatari. Vinginevyo, warudi nyumbani tuuze malonya...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Dah! Supapawa alifika huku lini, raia wake wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.....tena kwenye ardhi ya Urusi. In the latest example of the war increasingly spilling into Russia, the Bryansk...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Umeshawahi ona bajeti yenye kuonyesha Mapato tu bila matumizi ? Urusi baada ya uvamizi wa Ukraine bajeti yao inaonyesha Mapato tu bila matumizi Russia Hides Budget Spending But Shows How Ruble...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Russia has thrown out the United States Agency for International Development, the U.S. State Department said, claiming that the aid agency has undermined Russia's sovereignty. "We have recently...
3 Reactions
56 Replies
8K Views
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
A Dossier by a Russian Military Expert yet again prove that the US military biological activities in Ukraine and around the World are a threat to humanity A Statement by Chief of Nuclear...
0 Reactions
0 Replies
518 Views
Kwanini asivae suti kali? Kwanini avae tisheti tu? Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why? Yaani unakuta hadi walinzi na...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Hali ya wasiwasi imeendelea baada ya mapigano mapya ya muda wote wa usiku ndani ya siku mbili tangu Mahakama imhukumu kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko (48) ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Wachambuzi wa kivita wa Marekani wamekiri kuwa mfumo wa Patriot pamoja na sifa zake kadhaa lakini si mfumo salama mbele ya jeshi la Urusi. Mtambo huo wa Patriot kimsingi umeundika na vitu sita...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
NJOONI WALE MLIOSEMA HIMARS KWISHA HABARI YAKE Ukrainian artillery reportedly destroyed part of one of Russia’s most advanced surface-to-air missile systems in the Kherson region. Pictures of...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom