International Forum

News and Stories from rest of the World
Magaidi wa alshabaab kule Somalia wenye mlengo wa dini walijaribu kuvamia kambi ya Wahabeshi, Ethiopians, walianza kwa kujilipua lipua ila wakakuta wamesubiriwa na kupokea kichapo...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote. Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko. === Russia's most...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Inasemekana moja ya sababu ni idadi kubwa ya wanajeshi waliopoteza maisha baada ya kufeli kwa counter offensive ya Ikraine.
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma. Sasa mzee analisuka jesjhi...
13 Reactions
63 Replies
8K Views
Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi: 1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Katika hali ya kuzidi kuimarika mahusiano kati ya India ambaye ni mwachama wa BRICS na West, Kampuni moja ya Ujerumani inategemwa kupewa kandarasi ya mabilioni ya Euro kutengeneza nyambizi 6 za...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema uamuzi huo dhidi ya National Freedom Council (CNL)umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na viongozi 8 wa chama hicho, waliodai kufukuzwa ndani ya chama baada ya...
0 Reactions
4 Replies
784 Views
Russia yastaajabisha Ulimwengu kwa kutumia kiasi kidogo mno cha pesa kwenye vita ya Ukraine licha ya mafanikio yake makubwa kwenye kutwaa ardhi na miji mbalimbali ya Ukraine ikiwemo Bakhmut...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana kama uthibitisho wa kutokuwezekana kwa nchi moja kushinda vita kwa kutegemea misaada 100% kutoka kwa nchi nyingine, Ukraine imekumbwa na uhaba mkubwa wa makombola kiasi...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Serikali za majimbo ya Edo na Kwara zimepunguza siku za kazi kuwa 3 kwa Wafanyakazi wa Serikali ili kuwasaidia kukabiliana na gharama kubwa za mafuta na usafiri baada ya tangazo la Serikali kuu...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Iko hivi, ili kumwogopesha urusi asiendelee kutumia makombora yake ya hypersonic missiles kushambulia sehemu nyeti za ukraine, wakaamua kuzua uongo kuwa Patriot air defense imedungua makombora...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Nchini #Senegal, linamshikilia Mwalimu huyo ambaye amekuwa akitafutwa kwa wiki kadhaa baada ya kuripotiwa kuwafanyia kitendo hicho Wanafunzi wake wa Kike aliokuwa akiwafundisha...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Mzuka wanajamvi! Kuna rafiki yangu msenegali ameenda kwao kumshughikia mke na mtoto wake Visa. Tumewasiliana kwenye Whatsapp anavyonisimulia kwa kweli hali inatisha tofauti tunavyosoma kwenye...
22 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea...
4 Reactions
5 Replies
949 Views
Serikali ya Australia kwa Ushirikiano na Marekani wanafikiria kuipa Ukraine Ndege vita aina ya F/A 18 Hornet. Ndege hizo 41 zilikuwa zisitaafishwe ila wameamua kuipa Ukraine. Sifa kuu ya F/A-18...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis atafanyiwa upasuaji wa tumbo lake leo Jumatano Juni 7, 2023 alasiri katika hospitali ya Gemelli ya Roma. Anatarajiwa kukaa hospitalini kwa "siku...
0 Reactions
5 Replies
799 Views
Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma...
0 Reactions
5 Replies
953 Views
Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi. Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye...
24 Reactions
151 Replies
11K Views
Rais wa Chama cha upinzani Ensemble Pour la République Moise Katumbi aliulizwa kama anaona atashinda uchaguzi mwaka huu. Majibu ya katumbi ni kuwa kwa Felix Tshisekedi upinzani hauna kazi kubwa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom