Jamaa wanapigana kwa mizuka ya balaa............
Fighting between forces loyal to Sudan's rival generals on Friday rocked the western region of Darfur, witnesses said, on the fourth day of a...
BBC yaripoti kuwa Urusi imewaua waasi 70 toka Ukraine waliojipenyeza na kuingia kwenye mpaka wa Russia na Ukraine, kwenye mkoa wa Belgorod, wakitumia magarivita ya Marekani ikiwemo MRAPs...
Mambo mengi muda mchache, mbele kwa mbele, ulimwaga unga wenzako wanamwaga mboga, Mrusi vita vimemkuta ndani, hawa ni Warusi walioamua kumuondolea Putin uzembe maana amesababisha maafa ya Warusi...
Jeshi la Wagner ni jeshi la kampuni binafsi ya Ulinzi kama zilivyo kampuni binafsi xa ulinzi zilizopo hapa Tanzania kama Group4 Security,KK security, Kiwango Security,nk kampuni ambazo mtu waweza...
Hivi karibuni puto moja la uchunguzi wa hali ya hewa la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya limefuatiliwa sana na Wamarekani. Kutoka kugundua puto hilo tarehe Mosi hadi kuiliangusha...
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa
Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis...
Katika muendelezo wa madai yake kwamba Ukraine in sehemu ya Russia na sio taifa huru wiki Putin amekutana na Valery Zorkin, Mwenyekiti wa mahakama ya Katiba ya Urusi ambapo Mwenyekiti huyo...
Katika taarifa zilizotolewa na Urusi yenyewe kwa robo ya kwanza ya mwaka, Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na...
Mamlaka ya Afya ya Uingereza inayoitwa UK Health Security Agency imekiri kwamba hakuna chembe ya ushahidi wowote wa aina yoyote ya Barakoa inayoweza kuzuia maambukizi ya Covid-19.
Mamlaka hiyo...
Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika,
ukomo wa deni la taifa ni kitendawili....
Electrol collage!
Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
Mwanaume mmoja raia wa Nigeria anayeishi Uingereza (jina limefadhiwa) anashikiliwa na mamlaka nchini Uingereza kwa kosa la kuwapa ujauzito ndugu watatu wa damu ambao ni mke wake, mkwe na shemeji...
Licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kusitisha vita baina ya pande mbili zinazogombea madaraka kumeibuka lawama huku kila upande ukilaumu
Jeshi la Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya RSF wameendelea...
Naiyona hii vita kuwa kubwa taratibu...baada ya jumatatu kutokea uvamizi mpakani mwa Russia na Ukraine katika jimbo la Belgorod sasa kuna vita mbili Russia anaanza kupambana nazo...vita ivyo ni...
Plestina Islamic Jihad ambao ni mbadala wa mahasi wapo vitani takriban wiki sasa..
Hawa jamaa inaonekana ni moto kuliko hata hamasi.
Je wataweza mfupa ambao hamasi uliwashinda?
Mifumo ya usalama wa anga za Kyiv ziko salama na imara kama siku zote....
Russian forces carried out overnight drone attacks on Kyiv, officials said on Thursday, continuing a monthlong campaign...
Rais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia...
Tatizo kubwa la nchi yetu DRC ni ubaguzi.
Hatuwezi kumaliza vita vya risasi uku bado tuna vita vya ubaguzi mkubwa
Kongo Kuna luga nyingi saana lakini lugha kubwa ndani ya nchi yetu ni 2...
MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran
Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi...
Putin:Sera za Mabeberu zimesababisha ukosefu wa amani duniani
Rais wa Russia ameeleza kuwa katika hali ambayo Wamagharibi wanalenga kuzidisha hali ya wasiwasi na ukosefu wa usalama duniani; nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.