Hata kwenye vita vya Afghanista, Urusi haikupoteza wanajeshi ewengi kiasi hiki....
The head of the Russian private army Wagner says his force lost more than 20,000 fighters in the drawn-out...
Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (UN) limeeleza mapigano ya kuwania madaraka yanayoendelea Nchini hapo yamesababisha Watu zaidi ya milioni moja kuyahama makazi yao na kwenda katika maeneo...
Katika hali isiyo ya kawaida Mahakama nchini humo imewaachia huru washukiwa hao kutoka Liberia, Ureno, Lebanon, na Guinea-Bissau baada ya kukamatwa na kontena lenye zaidi ya kilo 500 za Cocaine...
Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda...
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.
[emoji1193] Mpalestina...
Inaripotiwa mji wa Urusi wa Belgorod umevamiwa na kutekwa maeneo kadhaa na wapiganaji kutoka Ukraine ambao ni Warusi wanaoiunga mkono Ukraine kupitia kikosi chao cha Free Russia Legion...
Hili wamelisema Warusi wenyewe, kwamba meli yao ya kivita imeshambuliwa na drones za kwenye majini
Russia has claimed that one of its warships has been attacked in the Black Sea by Ukraine.
It...
Ijumaa ya tarehe 19/may/ 2023 Urusi ilitoa orodha ya wamarekani 500 ambao imewapiga marufuku kuingia nchini humo na miongoni mwao ni Rais mstaafu Barack Obama.
Orodha hiyo imetolewa na Serikali...
Msajili wa vyama vya siasa Kenya amethibitisha mapinduzi yaliyofanyika na kundi la waasi katika chama cha Jubilee kuwaondoa Uhuru Kenyatta kama kiongozi mkuu wa chama na Jeremiah Kioni kama Katibu...
Unafiki.
Russia was added to the political forum from 1997, which the following year became known as the G8. In March 2014 Russia was suspended indefinitely following the annexation of Crimea...
Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.
=======
Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing...
Mgogoro wa China na Taiwan ni wa muda mrefu sana ila kwa sasa unakolezwa zaidi na vita vya Teknolojia ya semiconductors/microchips kati ya Marekani na China ambao wote wanategemea kwa sehemu kubwa...
Waziri mkuu wa Armenia Nicol Peshinyan amesema nchi yao itajiondoa katika umoja huo unaoundwa na Urusi,Armenia,Turikstan,Khazakstan na Belarus kwa kile alichokisema msaada hafifu katika mgogoro...
Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri au ungemtaka Zelenskyy kama Rais wako afanye nini kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi...
Hii vita imefika pahala ni akili zaidi. Urusi anajua anapambana na mtu ambaye anasaidiwa na kundi kubwa la watu wanaotaka wamuangamize. Hivyo anajuwa anapewa silaha na taarifa nying za kijasusii...
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.
Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.
Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya...
The imperatives of the military have always been one of the main drivers of technological development.
ARPANET, one of the internet's most important precursors, was a Pentagon project whilemost...
Mapinduzi ya Iran; Muujiza wa Mwenyezi
Ni Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyopita ushindi 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini MA.
Tukirejea katika kitabu kitakatibu cha Qur'ani tunakutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.