Kwa mujibu taarifa iliyotolewa na Serikali ya #Nigeria imeeleza kuwa Rais #MuhammaduBuhari alitarajiwa kurejea Nchini kwake wiki hii lakini ameongeza wiki moja ili kukutana na Mtaalam wa Afya ya...
Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri...
South Korea has experienced one of the largest economic transformations of the past 60 years. It started as an agriculture-based economy in the 1960s,1 and it became the 11th largest economy in...
Kama kichwa va habari kinavyosema Russia baada ya kulipua handaki ndani ya Ukreine na kuua wataalamu wa NATO zaidi ya 40.
Us alitaka kulipiza kisasi kwa kutuma drone yake ambayo anaiita most...
Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine.
Haya...
Tanzanian scientist wins sickle cell research award
BY THE GUARDIAN REPORTER
20th September 2011
Dr Julie Makani
A Tanzanian scientist, Dr Julie Makani, has this year won the Royal Society's...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka...
Hivi karibuni Benki Kuu ya Marekani iliongeza kiwango cha riba kwa mara ya kumi ndani ya miezi 14 iliyopita, hatua ambayo imelaumiwa tena ndani na nje ya nchi hiyo. Kuendelea kuongeza kiwango cha...
Katika mgogoro wa Ukraine tumeshuhudia mifumo ya anga ikitumika sana.hasa kwa pande zote mbili(Urusi akitumia very advanced S-400 Triumph).
Ukraine akiwa na mifumo kama S-300 amekuwa ikisema...
Aikosoa serikali kutishia tishia matumizi ya nyuklia kwenye kila shambulizi wanalopokea la drones, asema wamekua kama vinyago "clowns"....
Hehehe huyu jamaa akiendelea hivi Putin atamla, japo...
Sherehe za victory parade za Urusi zinafanyika usiku wa leo.CNN watarusha live kuanzia saa saba usiku wa leo ambazo zinafanyika jiji.la St Petersburg Urusi
Sherehe hizo hutumika kuonyesha vifaa...
Ni Alain-Guillaume Bunyoni aliyefutwa kazi baada ya kudaiwa kuwa na mipango ya kufanya mapinduzi dhidi ya Serikali ya Rais wa #Burundi #EvaristeNdayishimiye aliyeingia Madarakani baada ya Kifo cha...
Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872...
Mtangazaji na Mwandishi maarufu wa Habari za Michezo nchini Cameroon Anye Nde Nsoh, ameuawa katika mji wa Bamenda uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi.
Ripoti zinasema kuwa Nsoh alikuwa kwenye baa...
Umoja wa kundi la kiuchumi la BRICS lililoasisiwa na China na Urusi limeonekana kukua na kutishia uhai wa umoja wa mataifa na maslahi ya taifa la Marekani.
Hayo yameeleweka wakati umoja huo...
Ilikuwa ni mwezi february mwaka 2015 raisi Xi alipotangaza maono yake ya kujenga mji mpya mkubwa nchini China. Michoro na mipango yote ikakamilika mwaka 2017 na miaka sita imepita China wamekuja...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wizara ya Uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazoyalazimu Mashirika yote kugharamia Chakula na Malazi ikiwa uchelewaji utakuwa ndani ya udhibiti wa Shirika...
Kinachosumbua DRC ni ukabila wizi kukosa uzalendo na umoja wa kitaifa.
1. Ukabila: Pale DRC Kuna kabila la wanyamulenge.Hawa ni watusi asili Yao kutoka Rwanda, Uganda na Burundi. Kwa asili watusi...
Uturuki ilikuwa inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakuwa kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.
Hatimaye wameachia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.