Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza.
Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo...
Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote...
Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini
Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan
Wakiachiwa hivi...
Sijui hawa watu wanatuonaje lakini, hivi wanaona sisi wajinga wa mwisho kabisa yaani hatuna hata akili! inasikitisha sana.
Mbaya zaidi kuna wabongo wenzangu ambao hawajui kutumia akili zao nao...
Hawa jamaa bwana! Yani rais anaongea unaona kabisa hapa rais anaongea. Amegusa maeneo yote kuanzia vita, historia mpaka uchumi!
Hotuba imeshiba kabisa!!
Why does China have so many state-owned enterprises ?
China, the world's second largest economy, has the largest number of state-owned enterprises (SOEs) in the world – over 150,000.
In many...
JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo.
Msemaji wa kamandi ya polisi...
federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store...
Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na...
Hizi ndizo nchi zenye majeshi yanayofanya biashara na kumiliki sehemu kubwa ya uchumi wa nchi wa nchi zao. Hizi nchi ukitaka biashara zako binafsi zikuendee vizuri inabidi utafute koneksheni na...
Wapalestina 12, wakiwemo makamanda watatu wa kundi la wanamgambo wa Islamic Jihad, wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Maafisa wa afya wa Palestina walisema...
Leo ilikuwa siku kubwa ya mapumziko nchini Russia ya kukumbuka Urusi ilivyoshinda vita kuu ya Pili ya dunia
Siku kama hii huwa na shamra shamra nyingi sana kubwa likiwa ni la military Parade...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya mshahara kwa wafanyikazi wa umma 700,000 siku tano kabla ya uchaguzi mkuu.
Haya yanajiri wakati uchumi wa nchi hiyo...
Kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2014 Urusi yarudi katika tip 10 za mataifa yenye uchumi mkubwa duniani!
Maswali ya kujiuliza
1. Vikwazo havifanyi kazi?
2. Kama sio vikwazo Urusi ingeshindwa kuwa...
Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu.
---
Joe Biden has warned the world could face...
Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia...
Western elites have forgotten the consequences of the Nazis’ “insane ambitions,” Russian President Vladimir Putin said during his Victory Day Parade speech on Red Square in Moscow.
“The globalist...
Tukio lililotokea Texas na watu kadhaa kuuliwa,linasikitisha sana,wale wenye intelijisia ya uhakika walishindwa kutoa tahadhari kabla ya tukio.
Inaskitisha sana, watu kadhaa wameuliwa katika hiyo...
Kumbe kuna mtu kapigwa jana ndani, lazima aone machungu ya vita
Ukraine inajaribu lipa kisasi kwa Raia 23 waliouawa juzi.
Sasa Putin ni aamue atumie Nukes au aondoke Ukraine
Uzuri hizo drone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.