Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa...
Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba...
Zimesalia siku 2 tu kabla ya kuweza kutazama majaribio ya urushwaji wa Rocket kubwa ya Starship ambayo ndio rocket kubwa mpaka sasa katika kizazi cha Rocket
Katika kufanya safari za Mwezini na...
Kuondolewa madarakani kwa dikteta wa muda mrefu wa Sudan, Omar al-Bashir mwaka 2019 hakukusaidia nchi hiyo kujikwamua kutoka katika misukosuko na machafuko yake ya kisiasa ya muda mrefu.
Sasa...
Israel ilijua zamani kuwa bila kuzitumia nchi mbili zilizo jirani yake kama kinga dhidi ya uvamizi wa taifa la Palestina basi hawataweza kuendelea kuwapo pale kama taifa.Nguvu ya kijeshi...
Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine...
Urusi imepitisha sheria inayopiga marufuku matangazo na propaganda za aina yote yahusuyo ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo almaarufu kama LGBTQ.
Sijui kama nchi zetu hizi za kiafrika...
I have reported here that the Russian War is a multidimensional operation,including harvesting of human organs,Adechrome tapping and a demonic csfeteria.Now a Russian probe claims that Ukrainians...
Kuna dhana nyingi ambazo watu huzitumia bila kujua zina-maanisha nini hasa. Baadhi ya dhana hizo zina ajenda mbaya, kwa hivyo unapozitumia, unasaidia kuendeleza ubaya unaotokana na ajenda hizo...
Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho...
Siku ya jana umoja wa ulaya uliweza kurusha chombo anga za mbali ambacho kimepewa jina la Juice space craft kuelekea katika safari ya miaka 7 ya uchunguzi kwenye miezi mbalimbali ya sayari ya...
Gleb Karakulov, aliyekuwa mwanausalama wa muda mrefu katika kikosi mahiri cha ulinzi cha Putin alitoroka katika utumishi huo akiwa na cheo cha Kapteni huko Kazakhstan kabla ya kukimbilia West...
Kamikaze drone ya mrusi lacent kamikaze drone imeendelea kuwa pasua kichwa kwa majeshi ya Ukraine kwa ufanisi wake mkubwa.
Kamikaze hio Imeharibu mzinga huo unafahamika kama M109 self-propelled...
Ukraine sasa in uwezo wa kuuza umeme nje ya nchi kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miezi sita huku miundombinu yake ya nishati ikirejea katika hali ya kawaida kutokana na mashambulizi ya mara...
What is Dedollarisation ?
Is a process of substituting or reducing US Dollar as the currency used for (i) trading oil and/or other commodities(i.e.petrodollar),(ii) buying US dollars for the...
ZOMBIE APOCALYPSE brought to you by Anthony Fauci and Bill Gates
Posted on April 6, 2023
Predictive Programming at the CDC Website Foreshadows worldwide
public health crisis triggered by...
Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi...
Mashambulizi ya Urusi huko mashariki mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu wanane na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20.
Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema mashambulizi makali yanayofanywa na...
Kwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23.
Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la...
Kama alivyokuwa Obama kizazi cha Kenya ndivyo alivyo Biden kizazi cha Ireland na Rishi kizazi cha India.
Rais Joe Biden ataitembelea Ireland na kuzuru maeneo ya kizazi chake.
===
US President...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.