Ifuatayo ni orodha ya nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani, Tanzania gesi yetu ni cha mtoto.
1. Marekani
2. Russia
3. Iran
4. China
5. Canada nk. Endelea kusoma hapa chini...
Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda.
Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson...
In a bid to end US hegemony and bullying,top Arab leaders including Saudis and Iranians are meeting in China to plot ‘end’ of American global dominance.While nations are now openly challenging US...
Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine.
Hadi...
TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu.
Kwa wenye...
Rais Lazarus Chakwera ametangaza idadi ya watu waliofariki kutokana na Kimbunga #Freddy nchini #Malawi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu 1,000.
Hakutoa maelezo ni kwa nini idadi ya vifo...
Katika siku za hivi karibuni viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakifanya ziara kadhaa nchini China, wakitafuta njia mbalimbali za kuhimiza ushirikiano kati ya nchi zao na China. Mwishoni mwa...
Baada ya kupost kwamba data za siri juu ya vita ya Ukraine kuna "wamarekani wa chato" walisema zimetengenezwa na Urusi. Sasa USA orijino wenyewe wamekiri data zimevuja!
NB: Lazima tujue Urusi sio...
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa...
[emoji1134][emoji1193][emoji845]Pictures of the k!lled IDF soldiers in yesterday's shooting operation by Palestinian Armed group.
Nimeangalia hii picha nikajisikia vibaya sana even kusikitika...
Mongolia is a country that is not exactly at the heart of any kind of conflict.
If you have heard of country, then it is probably from a book on history. If we go back, a couple of centuries we...
Tusipoteze wakati,
Ukiwaambiwa watu raisi anakutana na USA, watu watalalamila USA wanaleta ushoga, Ukiwaambia tumesaini mkataba na umoja wa Ulaya watasema masuala ya ushoga, ukiwaambia naenda USA...
Kwa mara nyingine Marekani imekamatwa ikidukua Nchi rafiki na viongozi wa nchi hizo
Uvujaji wa Siri siku za hivi karibuni umefichua umbali ambao Marekani imeenda kupata taarifa hadi milangoni mwa...
Umoja wa Mataifa unaangazia kusitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya Taliban kuwazuia wanawake kufanya kazi kwenye mashirika ya umoja huo nchini humo.
Taarifa iliyoachapishwa mapema...
Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache.
Yakianzishwa...
Mrusi ametupia kila kitu hapo Bakhmut, "mizoga" ya Warusi kila siku inaongezeka kwa maelfu lakini wazalendo wa Ukraine wamesimama kidete, wanapambana kuingia kwenye historia kama Daudi dhidi ya...
China imeyapa upya majina maeneo 11 yanayogombaniwa kati yake na India mwaka huu baada ya kufanya hivyo tena kwa maeneo 15 mwaka jana katika eneo kubwa la mpaka kati yake na India lenye mgogoro wa...
LONDON, Aprili 11 (Reuters) - Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema Jumanne kwamba kulikuwa na "kiwango kikubwa cha taarifa kutokuwa sahihi" katika uvujaji unaoripotiwa na wengi wa madai ya siri...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi.
Makubaliano hayo yamefanikisha kiasi cha wanajeshi 200...
Wiki hii imekuwa mbaya sana kwa Marekani na ulimwengo wote wa kielektronik baada ya siri zote za Marekani za karibuni kumwagwa hadharani kwenye mitandao.
Mwanzoni Pentagon ilisitasita kukubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.