Kwa mujibu wa Australian think tank reports zimedai kuwa current China imezipiku nchi za magharibi Kwa upande wa tech ......kati ya 44 technology China Ina possess 37 kati ya hizo Duniani
China...
Halafu kuna watu wana matumaini kuwa comedian Zelensky aka Sele atashinda hii vita[emoji23][emoji23][emoji23]
Chekini hali ilivyo tete ukraine huu ni wakati wa kujisalimisha tu.
Katika maadhimisho ya miaka 80 ya pambano la vita la Stalingrad na waliokuwa wanazi wa Ujerumani Putin amesema sasa Russia inakabiliwa na vifaru vya Ujerumani tena.
Amejiapiza na kutishia Urusi...
Kwa mujibu wa Reuters, mashauriano hayo yapo hatua ya awali yakilenga kupata Washirika kutoka mataifa mbalimbali, hasa Kundi la Nchi 7 Tajiri Duniani (G7) ili kuratibu vikwazo vyovyote...
Raia wa Georgia wako katika wimbi la mfululizo wa maandamano makubwa kupinga sheria ya vyombo vya habari inayoonekana kuwa mfano wa sheria za Kirusi za kudhibiti uhuru wa vyombo vya habari. Vurugu...
Afisa wa Benki na tapeli mahiri wa Urusi Sergey Grishin amefariki dunia nchini Marekani, akiwa na umri wa miaka 56. Grishin alikiri mwaka 2018 kuwa ndiye aliyepanga mpango wa kuzihadaa benki za...
THAMANI ya pamoja ya watu tajiri zaidi Urusi imeongezeka kwa dola bilioni 10.4 tangu Januari mwaka huu licha ya vikwazo vya Magharibi vilivyowekwa kwa wafanyabiashara wa nchi hiyo, Bloomberg...
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine.
Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na...
Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya...
Habari Wabantu wenzangu,
Rais wa Tunisia Saied Kais amenukuliwa akisema kwamba kuna njama ya kuua utambulisho wa taifa lake wa Kiarabu kwa kuligeuza taifa la Afrika unaosababishwa na wimbi kubwa...
Waendesha Mashitaka wamesema Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi katika Jimbo la Virginia bado mdogo kuweza kutambua masuala ya sheria badala yake wanaangalia nani anaweza kushitakiwa katika tukio...
Sijui kama utaelewa?
Kanatokea katoto ka form3 A kanasema Urusi kashindwa vita mara Urusi kapanda mara kashuka?
Hata historia hakajui maskini ya mungu yaani hivi vitoto vinasikitisha kweli...
Habari wana Jamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu historia ya jamii ya WaKurds ambao wanapatikana katika mataifa manne tofauti lakini wako kwa wingi Iraq.
Je, jamii hii ina asili yake katika nchi...
Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya...
Waziri mkuu huyo ametunukiwa tuzo kwa jitihada zake kuleta amani na ushirikiano wa kimataifa.
Mkataba wa amani ulisainiwa mwaka jana , mgogoro wa kivita na nchi jirani uliochukua karibu miaka 20...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika...
Abiy Ahmed ana njia moja tu kuitoa Ethiopia katika mzozo wa vita ya wenyewe kwa wenyewe
04/11/2021
Novemba 6 mwaka jana, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed alitangaza operesheni za Kijeshi...
Miezi 3 tangu Serikali ya #Taliban itoe zuio kwa Wanafunzi wa Kike kusoma Vyuo Vikuu, utekelezaji umeanza baada ya kuanza muhula mpya wa masomo huku Wanawake wakitakiwa kutofika madarasani...
Maafisa wa Ukraine pia wameripoti kwamba viongozi wa brigedi ya Urusi inayopambana karibu na mji wa Vuhledar.
Kusini mwa Bakhmut wamekataa kutekeleza amri ya kushambulia baada ya kupoteza...
Turkish opposition leader Kemal Kilicdaroglu emerged on Monday as the main challenger to President Tayyip Erdogan in landmark elections expected on May 14, after a six-party alliance picked him as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.