International Forum

News and Stories from rest of the World
Waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa wafanyakazi zaidi ya 10 wa kiwanda cha simenti kinachomilikiwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MAKOMBORA 81 YALIRUSHWA NA JESHI LA URUSI NA KULENGA MAENEO MUHIMU. Mkuu wa jeshi la Ukraine ameswma kwamba, jeshi la Urusi limerushwa makombora 81 yakiwemo makombora sita ya Kinzhal. Makombora...
25 Reactions
110 Replies
7K Views
Moja kwa moja. Mamlaka ya mji wa Berlin nchini ujerumani imepitisha uamuzi huu baada ya mwanamke aliyeondolewa kwenye bwawa la kuogelea bila nguo kuchukua hatua za kisheria. Mamlaka zinadai kuwa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
According to The Bhutan Live, India and Bhutan share a special bilateral relationship. Bhutan has the most significant share of the allocated budget for the Ministry of External Affairs (MEA)...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji. Kwa mujibu wa BBC...
0 Reactions
4 Replies
593 Views
Polisi nchini Malawi wamesema takriban watu 15 wamefariki na wengine 16 hawajulikani walipo kutokana na uharibifu uliosababishwa na dhoruba ya kitropiki Freddy. Pamoja na kukatika kwa mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
435 Views
Jana ulikuwa usiku muhimu kwa ulimwengu wa sanaa ya filamu duniani. Tuzo kubwa na maarufu zaidi duniani katika sanaa ya filamu za Academy au maarufu kama Oscar Awards zilitolewa kwa washindi...
4 Reactions
14 Replies
981 Views
Mexico imevutiwa na muungano wa BRICS na imetoa maombi ya kujiunga. Naona kifo cha Dola na Ubeberu wa Washington kinafuata Watu wengi hawaelewi dhamira ya Russia kupigana kwa kurelax huko...
30 Reactions
122 Replies
7K Views
UNITES ARAB EMIRATES YATAMKA KUACHANA NA MANUNUZI YA MFUMO WA ULINZI WA ANGA KUTOKA ISRAEL. Urudishwaji wa mahusiano mema kati ya Saudia na Iran umeanza kuathiri Israel mara baada ya raisi wa UAE...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini serekali wanatumia nguvu nyingi kubagua sisi watu ambao tumetoka katika mikoa ya waswali. Yaani kukitokea mtu yeyote ambaye ametoka katika mkoa wa waswali na akawa mpinzani anapewa uraia...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
URUDISHWAJI WA MAHUSIANO MWEMA KATI YA SAUDI ARABIA NA IRAN KUTAIFANYA SAUDIA KUJIUNGA NA BRICS Saudia ina nafasi nzuri kwa kujiunga na Brics kutokana na kurudisha uhusiano mwema na mpinzani...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Wengi bado hawajaelewa kwanini Urusi hatumii Nguvu kubwa kupigana huko Ukraine anarelax hizi ndo sababu hadi mabeberu wameshamshtukia. 1. Urusi anarefusha hii vita kwa maksudi akijua ni jinsi...
17 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa ADF, jana Machi 12, 2023 waliwauwa takriban watu 17 Mashariki mwa DRC, maafisa wa eneo hilo wamesema, siku chache tu baada ya kundi hilo lenye mafungamano na kundi...
1 Reactions
0 Replies
727 Views
Mimi sina mengi, hii ni taarifa kutoka kwa Pro Ukraine" kutoka huko twitter! Pia haya makombora yana uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, makombora haya yanaogopwa sana NATO/USA! NB: Taifa...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Marekani yakiri kuwa mfumo wa Patriotic hautoweza kuisaidia Ukraine kuzuia makombora yenye kasi ya Russia THE PATRIOTS AIR DEFENCE SYTEM WILL NOT HELP UKRAINE AGAINST RUSSIAN CRUISE MISSILES...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Buhari ametumia miaka yote serkalini kujaribu kuifanya nchi ya nigeria iwe na utamaduni wa mashariki ya kati. Nigeria inafanya uchaguzi hivi karibuni na kwa makusudi amempa mwislamu mwenzake...
11 Reactions
251 Replies
10K Views
Branch Davidians lilikuwa kundi la kidini lililojiengua kwenye dhehebu la Ki-adventist baada ya Bwana Houteff kupishana na viongozi wa kisabato kwenye mambo fulani fulani. Kundi hili lilianzishwa...
1 Reactions
1 Replies
465 Views
Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele...
24 Reactions
128 Replies
9K Views
Wana siasa wakongo wanalazimisha wananchi wa Kongo kumchukia moise katumbi kwa lazima Viwanja viwili vya Kongo vimekataliwa na shirikisho la mpira caf kuchezewa michezo ya kimataifa kwasababu ya...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndani ya wiki mbili Kimbunga Freddy kumesababisha madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na kuangukiwa na nyumba, kuharibu nyumba na kusababisha moja ya bandari...
1 Reactions
5 Replies
919 Views
Back
Top Bottom